🤣🤣🤣 UlaghaiWapenzi wa Simba,
Najua mioyo yenu imebeba maswali mengi. Kama Rais wenu, msione nimekaa kimya wakati tumepitia kipindi hiki kigumu. Kupambania Simba ni wajibu wangu.
Huu siyo wakati wa lawama ni wakati wa kusimama imara, kuwa kitu kimoja, na kuchukua hatua sahihi za kuleta mabadiliko chanya.
Katika siku chache zijazo, nitazungumza na nyie moja kwa moja. Kuna kazi kubwa inaendelea, na kuna matumaini ya kweli.
Simba haijapotea. Tumekuwa kwenye kipindi cha mpito, tumejenga kikosi kipya, tumeimarisha benchi la ufundi, na tumeweka msingi wa mwelekeo mpya. Msimu huu tumefika mbali zaidi ya matarajio, na msimu ujao tunarudi kwa nguvu mpya.
Naomba tuendelee kuwa wavumilivu. Tunahitaji kufanya marekebisho makubwa. Tuendelee kusimama pamoja kama familia moja.
Mbele yetu kuna mwanga. Na kwa pamoja, tutarudi tukiwa imara zaidi, wenye njaa zaidi, na wa kishujaa zaidi.
#SimbaMoja #NguvuMoja
Raisi ndio ameshasema sasa🤣🤣🤣 Ulaghai
Yule hamna kitu aliungishwa tela la pacome 🤣🤣🤣🤣 bora ata punda mzamiru kuliko ngomaAmeondoshwa kwa sababu za Kuogoza Migomo ya kudai Posho.
Best passer ever.
Kiungo mrefu.
Kiongozi ndani ya uwanja.
Mkongomani haswa.
Ngoma alishapost kuondoka Simba kuanzia 29th juneAmeondoshwa kwa sababu za Kuogoza Migomo ya kudai Posho.
Best passer ever.
Kiungo mrefu.
Kiongozi ndani ya uwanja.
Mkongomani haswa.
Ana wa- brain wash mashabiki na wanachama mlio nje ya mfumoRaisi ndio ameshasema sasa
Unamsifia hili tumchukue, safari hii hatujai😁Ameondoshwa kwa sababu za Kuogoza Migomo ya kudai Posho.
Best passer ever.
Kiungo mrefu.
Kiongozi ndani ya uwanja.
Mkongomani haswa.
😁Ameondoshwa kwa sababu za Kuogoza Migomo ya kudai Posho.
Best passer ever.
Kiungo mrefu.
Kiongozi ndani ya uwanja.
Mkongomani haswa.
5imba Ndy Kapewa Thank YouNgoma alishapost kuondoka Simba kuanzia 29th june
View attachment 3403236
This is not news
Nashindwa kuelewa kati yake na Simba nani kampa mwenzake thank you
Simba wamekosea kumwacha ngoma Azam wawai mapema.Ameondoshwa kwa sababu za Kuogoza Migomo ya kudai Posho.
Best passer ever.
Kiungo mrefu.
Kiongozi ndani ya uwanja.
Mkongomani haswa.
Pusi, paka, nyau, miauuuu.Kafa paka kazikwa nyau