@Afrodenzi naona taratibu unaanza kuja kwenye soka, Euro Cup inaanza June 8, 2012 kama muda utakuruhusu angalia. Ukilifahamu soka basi hakuna mchezo mzuri duniani kama Kandanda ile ru..... 🙂 haioni ndani LOL! (nakuchokoza) Kama uliona mchezo wa mwisho wa MANC au ile fainali ya UEFA ambayo Chelsea waliibuka kidedea utanielewa.