Mourinho
JF-Expert Member
- Jul 24, 2012
- 4,619
- 2,328
Sijawahi kuona uzi wa F1 hapa toka nijiunge na JF, ina maana hakuna mashabiki wa F1 ndani ya JF?
Leo tuko Monaco, Monte Carlo, hii ni moja kama sio circuit ngumu zaidi kwenye F1 na kila F1 driver anataman kishinda hapa. Ni race ya 78 laps kwa leo.
Kwenye pole yupo Rosberg akifuatiwa na L. Hamilton na Vettel. Na kwa namna hii circuit ilivyo anayeanzia mbele ana nafasi kubwa sana ya kushinda race.
Mpaka sasa kwenye Championship anayeongoza ni Vettel akifuatiwa na Kimi R.,