Ezekieli Maige ampiku Magufuli, moto chini

Hivi "Matamko" aka "Maagizo" yanatusaidia nini?

Rais JK ametoa "Maagizo" zaidi ya 100 lakini mpaka leo business as usual!

Waziri Mkuu Pinda ametoa "Maagizo" zaidi ya 20 lakini mpaka leo business as usual!

Na mimi natoa "agizo" - Kuanzia leo marufuku Waiziri yeyote kuitisha mkutano na waandishi wa habari na kutoa "maagizo" BE
 
Amepiga marufuku matumizi ya kifisadi ya watendaji wa wizara yake kulipana posho za hovyo hovyo, kununua mashangingi TANAPA badala ya magari ya porini, kusafiri nje ya nchi hovyo hovyo. Awasuta wajumbe wa bodi ambao ni mchwa.

Chanzo: Star tv taarifa ya saa mbili usiku

HAKa KAJAMAA NI KALEVI TUU KA MADARAKA HAKANA LOLOTE NGOJA NIPOST CV YAKE HAPA MUONE KALIVYOCHEMKA HUKO NYUMA NI KAZUSHI HII NI DIZAIN YA VIONGOZI WA NDIO MZEE KAMA PINDA HAAAA;; EEEEH KAMA PMTOTO WA MKULIMA
 
Amepiga marufuku matumizi ya kifisadi ya watendaji wa wizara yake kulipana posho za hovyo hovyo, kununua mashangingi TANAPA badala ya magari ya porini, kusafiri nje ya nchi hovyo hovyo. Awasuta wajumbe wa bodi ambao ni mchwa.

Chanzo: Star tv taarifa ya saa mbili usiku
kama hiki ndicho kipimo chako.... basi tuna safari ndefu sana kuelekea uelewa
 
Ile ya maige ni usanii tu, ukiangalia maneno aliyokuwa anatamka, matamshi pia, muonekano (picha) utagundua alikuwa anajaribu kuwahadaa watanzania, hana jipya huyu. Kamwe hawezi kulingana na Alcohol

Subili utendaji wake kama utauona wala kuuhisi
 
Yeye apambene na board kama anaweza. Mana board ndo inaongoza kwa kula pesa na safari za nje.
Lazaro Nyalandu pia ni mjumbe wa board na pale ndo kafungia ring alikuwa hana kitu kabisa.
 
kijana waziri Maige ameanza vizuri anatia matumaini kwamba kipindi cha awamu ya pili tutegemee kuwaona akina magufuri wanaongezeka
 
Yeye apambene na board kama anaweza. Mana board ndo inaongoza kwa kula pesa na safari za nje.
Lazaro Nyalandu pia ni mjumbe wa board na pale ndo kafungia ring alikuwa hana kitu kabisa.

Are you serious? Hivi kuna mtu anaweza kupost board ya TANAPA hapa? Pengine it is high time to see behind some of these public institutions accused of stealing public funds
 
Hivi "Matamko" aka "Maagizo" yanatusaidia nini?

Rais JK ametoa "Maagizo" zaidi ya 100 lakini mpaka leo business as usual!

Waziri Mkuu Pinda ametoa "Maagizo" zaidi ya 20 lakini mpaka leo business as usual!

Na mimi natoa "agizo" - Kuanzia leo marufuku Waiziri yeyote kuitisha mkutano na waandishi wa habari na kutoa "maagizo" BE

Umewashtukia eee? Hivi kwa nini wandishi wetu wa habari wasiwe wanawauliza hao mawaziri wakati wakiitwa kwamba mawaziri wawasilishe vielelezo vya jinsi walivyoshuhulikia tatizo fulani. Kuonesha tatizo lilikuwa kiasi fulani na baada ya hatua alizochukua sasa limepungua kufikia kiasi fulani.

Waandishi wetu wanakimbilia kwenye press conference na kalamu na karatasi halafu wanakimbia tena newsroom kumpamba waziri, siku nenda rudi, matatizo yetu yako pale pale na wao wako bize kila siku wanayaripoti

shame on you waandishi wa habari wa tanzania!!!!!!!!!!!
 
Haya Maige, mama yako Tiba ndo keshapiga bao. Ameachana na utendaji wa maagizo kwa vyombo vya habari sasa waandishi wataripoti alichofanya siyo alichosema.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom