Lowassa alinunuliwa na nani kule chadema?Siasa za manunuzi zilizoanzishwa na Comrade Humphrey Polepole hivi bado zipo tu huko CCM?
Polepole hakuanzisha labda aliendeleza(hata hivyo hakua na huo ubavu)Siasa za manunuzi zilizoanzishwa na Comrade Humphrey Polepole hivi bado zipo tu huko CCM?
Zitto alifukuzwa CDM sasa unajuaje walionunuliwa na waliohama kwa hiyari yao?Polepole hakuanzisha labda aliendeleza(hata hivyo hakua na huo ubavu)
Manunuzi kwa ccm yalianza muda, juliana shonza, mtela mwampamba, mwigamba, zitto, kitila n.k Hawa walinunulia wakati ambao hata polepole hakuna anayemjua
Sababu ya kufukuzwa ni kufanya hujuma kwa kulipwa na ccm(ndio kununuliwa huko)Zitto alifukuzwa CDM sasa unajuaje walionunuliwa na waliohama kwa hiyari yao?
Polepole alikuwa akiwaomba waunge mkono juhudi.Sababu ya kufukuzwa ni kufanya hujuma kwa kulipwa na ccm(ndio kununuliwa huko)
Najuaje waliofukuzwa na kuhama kwa hiari yao? Wewe umejuaje kuwa kuna walionunuliwa na polepole?
Wapinzani kununulika na kuingia ccm au kubaki walipo hilo wala halikua suala la polepole mana limeanza hata yeye akiwa hajulikani. Ndio maana nikasema labda usema aliendelezaPolepole alikuwa akiwaomba waunge mkono juhudi.
Anyway hata Mbowe alikuwa anatuhujumu kwa kulipwa CCM
Lakini Polepole alilifanya in industrial scale.Ndio maana nikasema labda usema aliendeleza
Bado tunamsubiri mama bata. Wenje ni kifaranga tu.Hatimae kamfuata tajiri yake,Abduli.
Mbona unaonekana umeumia sana mkuu?!!! Poleni sanaKwa CHADEMA ya Lissu ambayo haipendi wanaolinda matumbo yao kuliko maslahi ya umma.
Wenje kuondoka CHADEMA kuna hasara gani?
Lowasa alitafuta jukwaa ndio maana alifanya siasa safi. Hakuibagaza CCM wala kuibagaza CDM alipohama.Lowassa alinunuliwa na nani kule chadema?
Hivi mchungaji msigwa yupo? 😃