Ezekiel Maige's arrogance

he he kamnunulia baba yake jenereta pale segese kahama
 
Apart from that...nyumba yake kule kijijini kwao ilipigwa mawe na wananchi wenye hasira...Issue ni kwamba wakati anapiga kmpeni aliwahaidi wanakijiji wa kijiji chao kuwa atahakikisha kuwa ummeme unaokwenda kijiji cha jirani lazima upite kwenye kijiji chao (bahati mbaya vijiji hivyo nimevisahau majina).cha ajabu wakati umeme uanpelekwa kwenye kijiji hicho haukupita katika njia ya kijiji cha akina Maige amabako amewajemgea wazazi wake nyumba ( wazee wake walitengana kitambo, so alikuwa na nia ya kurejesha tena). wakati wananchi wanajiuliza iweje umeme haukupitishwa kwenye kijiji chao kama mbunge alivyowahaidi wakashitukia genereta linafungwa kwenye nyumba ya mbunge..wananchi walishikwa na hasira wakapopoa mawe nyumba.Sijui kilichotokea ila media hawakuandika sana hii story.
 
leo nimekuwa kaka??habari ndiyo hiyo,najua ezekiel maige upo hapa,naomba ukanushe niweke kila kitu peupe!!

mimi nadhani kama una material ambayo ni muhimu kwa manufaa ya umma weka hapa
na huo ndio unazalendo dada
kuwa kama mwanajamii basi
 
kama unaongerea mashavu ni kweli jamaa ni fake
ananepa kizushi na vijiposho vyetu vya makalio
 
Muulize sheila huyu ndiyo anamjua maige sawa sawa kabisa. Sasa hivi tunamlelea mtoto wake uingeleza
 
sio fake bali ni kuwa hana confidence kabisa
na hana exposure ya kimataifa

alipaswa kuwa naibu tu

Correct!
Ni ubovu wa wahusika serikali kudhani kila mtu anaweza akapata mafunzo kazini kwa haraka. Kuna watu wanahitaji muda mrefu na mpaka apate ufahamu nchi inakuwa matatani.

Lakini tukirudi kwa mtoa mada, anaweza kuwa right maana facial expression ya jamaa huyu haionyeshi ni mtu wa ku-pick mambo kiurahisi ingawa naambiwa ni kijana anayehangaika sana kutaka kujua.
 
aiseee umenichekesha .moka bosi wangu kanimind.big up wanakijijiyaani kawadanganyeni mkampa NDIO aka VYEMA kwenya kuraaf anafunga genereta kwao tuu.ling 'oeni ikibidi wote mkoseaone machungu alete umeme pambaf.ili iwe fundisho kwa wote tuliowapa kura a\wakatuahidi uongo
 
this guy is fake is not genuine!

ha ha ha ha....huyu muheshumiwa alimaliza pale IFM,alikuwa mmoja ya best student,ila kwa akili za darasani anazo,ata CPA haikumsumbua ....ila tatizo hana exposure na bado ana mawazo ya kizamani,na vile vile haiwezi siasa,huyu nafasi ya uchief accountant ingemfaa zaidi...
 

Mwanzisha mada yuko right ila kashindwa tu kujieleza ila ukweli ndo huu ulioueleza kwamba mbuga zetu zina tour guides wa Kizungu wengi. Mi naomba wakati huyu bwana Maige anapowasilisha bajeti yake awe tayari ameweka mkakati wa ku-address haya mambo la sivyo tunamlaani yampate yaliyompata home boy wake Ngeleja. Kipindi hiki mungu lazima anasikia kilio cha wengi.
 

Kama siyo mwepesi wa ku-pick mambo haraka wanampa je nafasi kubwa namna hii kwani hafai kuwa ktk ngazi yoyote ya ki-wizara kwani kule kuna mambo mengi ya dharura na kwa mtu kama Yeye ni ngumu kuya-address kwa udharura wake.
 
This guy is not competent, confident and he is there for personal gain - opportunist.
 
Is there anyone in Kikwete's government who is genuine?

including the man himself, they say "Birds of a feather flock together". Najuta kuwa raia katika serikali ya namna hii kwa kweli.
 
Hakuna geniune kwenye serikali hii wote ni vilaza wapo kwa maslah zao binafsi! Broda anawaweka kimujinimujini! Kiushkaji wengne hata hawajielewi kam huyu wa umeme loool,huyu mai_ge nae nyati wetu wanakwea pipa ye hanasuluhisho huko mbugani ndo kuna madudu ya kutisha ye yupo tu anauza sula magazetini! Wanatakiwa wapopolewe mawe kama noma na iwe noma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…