The prophet nakuomba uangalie upya bibila yako, maana ya kwangu inanionesha kua kitabu cha Ezekiel sura ya 8, kinaishia mstari wa 18, sasa wewe huo wa 21 sijui umeutoa wapi, ama unataka kuudanganya umma wa jf, ama ni a mistake umefanya kwa bahati mbaya ama ni kitu gani,,, rekebisha tafadhali.
Acha kupotosha umma,wewe ndo unatengeneza biblia yako mwenyewe afu unasema una biblia?
Hebu gonga hapa uone kama huo mstari haupo
Ezekiel 18:21 But if the wicked will turn from all his sins that he hath c...
Lol,anti-christ wengi kweli
no, there was something wrong during the initial stages of thread execution. now ammended by mods.
wewe mchelewaji. umechelewa kuingia jamvini. pole, lakini karibu sana.
naomba nitumie mistari hii michache ya kitabu cha matayo kujibi hoja yako...lakini mtu mbaya akighairi na kuacha dhambi zake zote alizozitenda, na kushika amri zangu zote na kutenda yaliyo halali na haki, hakika ataishi, hatakufa.
Kwa unabii huu, na kwa imani ya milele niliyonayo kwa maandiko matakatifu katika Biblia Taskatifu ya Mungu, naonya na kutamka mambo mawili:
1. Kinachoendelea kwa babu loliondo ni usanii. dawa siyo kikombe cha babu. dawa ni kutenda yaliyohalali na haki. utaishi. hutakufa.
2. Lowassa anajiwinda kwa gharama yoyote kutaka kugombea urais upande wa CCM, lakini dhambi alizotenda tunazifahamu na yeye anazijua, ndiyo maana alijiuzulu kwa sababu ya dhambi hizohizo, na wala hajawahi kusimama na kuwaomba radhi watanzania, na sasa anataka kugombea urais. Hajatenda yaliyo halali na haki. Huyu Lowassa hataishi milele, atakufa.
Acha kupotosha umma,wewe ndo unatengeneza biblia yako mwenyewe afu unasema una biblia?
Hebu gonga hapa uone kama huo mstari haupo
Ezekiel 18:21 But if the wicked will turn from all his sins that he hath c...
Lol,anti-christ wengi kweli
usipende kukurupukia mambo. Hasa hasa mambo yanayohusu MUNGU... Unaniita anti-christ?? Nakuomba ufute kauli yako ndugu. Umma mzima wa jf utaniona vipi??..Fuatilia thread nzima uone ilikuaje, nadhani the prophet hapo juu ameshakuelewesha kua there was a mistake,sasa ndugu yangu, bila hata kufatilia, unanijudge na kunipa hukumu kubwa kiasi hicho... Duh, haya bwana,
2. Lowassa anajiwinda kwa gharama yoyote kutaka kugombea urais upande wa CCM, lakini dhambi alizotenda tunazifahamu na yeye anazijua, ndiyo maana alijiuzulu kwa sababu ya dhambi hizohizo, na wala hajawahi kusimama na kuwaomba radhi watanzania, na sasa anataka kugombea urais. Hajatenda yaliyo halali na haki. Huyu Lowassa hataishi milele, atakufa.
- Rais mwinyi aliomba Radhi
- unakumbuka alijiuzulu na mwisho tukampa urais ama ulitaka lowassa aachie hela mumuite mzee ruksa
naomba nitumie mistari hii michache ya kitabu cha matayo kujibi hoja yako
mathew
18:21
Then came Peter to him, and said, Lord, how oft shall my brother sin against me, and I forgive him? till seven times?
18:22
Jesus saith unto him, I say not unto thee, Until seven times: but, Until seventy times seven
mathew :18-
15"If your brother sins against you, go and tell him his fault, between you and him alone. If he listens to you, you have gained your brother. 16But if he does not listen, take one or two others along with you, that every charge may be established by the evidence of two or three witnesses. 17If he refuses to listen to them, tell it to the church. And if he refuses to listen even to the church, let him be to you as a Gentile and a tax collector. 18Truly, I say to you, whatever you bind on earth shall be bound in heaven, and whatever you loose on earth shall be loosedf in heaven. 19Again I say to you, if two of you agree on earth about anything they ask, it will be done for them by my Father in heaven. 20For where two or three are gathered in my name, there am I among them."
kama kweli wewe ni muelewa mzuri wa bible hii mistari itakuwa imekugusa,mtu akikosa asamehewe 7 mara sabini
na mtakalolifunga duniani na mbinguni hivyo hivyo! na msipowasamehe waliowakosea basi nanyi hamtosamehewa kamwe! kwahiyo uamuzi ni wako/wenu kusamehe na nyie kusamehewa au kutosamehe na nyie kutosamehewa! naomba kutoa neno!

ALIOFANYA NA KUOMBA MSAMAHA MBELE ZA MUNGU NAPENDA KUKUHAKIKISHIA 2015 ATAKUWA RAIS WAKO MTARAJIWA BILA KUPINGWA NA WEWE UKIWA SHAHDI KAMA TU UTAENDA KUNYWA KIKOMBE CHA LOLIONDO
I said sorry already brother,ningekuwa na uwezo ningefuta comment yangu lakini iko "quoted" tayari hata nikiifuta bado itaonekana tu!
Nimekuja wakiwa wamesha badilisha tayari so niliona wewe ukisema Ezekiel 8:21 na title linaonesha Ezekiel 18:21
You've made me feel guilty and i don't think i can remove the comment labda kwa msaada wa mods please
unless the defaulter admits he defaulted. this guy has never done this. he thinks money can buy people's minds. never!!! and now he stands with his dry face, masterminding for 2015 presidency.
big joke.
wewe ni fake prophet,soma huu mstari wa mathew
24:24
For there shall arise false Christs, and false prophets, and shall show great signs and wonders; insomuch that, if it were possible, they shall deceive the very elect.
that verse applies to Babu in Loliondo, not me. lol!
...lakini mtu mbaya akighairi na kuacha dhambi zake zote alizozitenda, na kushika amri zangu zote na kutenda yaliyo halali na haki, hakika ataishi, hatakufa.
Kwa unabii huu, na kwa imani ya milele niliyonayo kwa maandiko matakatifu katika Biblia Taskatifu ya Mungu, naonya na kutamka mambo mawili:
1. Kinachoendelea kwa babu loliondo ni usanii. dawa siyo kikombe cha babu. dawa ni kutenda yaliyohalali na haki. utaishi. hutakufa.
2. Lowassa anajiwinda kwa gharama yoyote kutaka kugombea urais upande wa CCM, lakini dhambi alizotenda tunazifahamu na yeye anazijua, ndiyo maana alijiuzulu kwa sababu ya dhambi hizohizo, na wala hajawahi kusimama na kuwaomba radhi watanzania, na sasa anataka kugombea urais. Hajatenda yaliyo halali na haki. Huyu Lowassa hataishi milele, atakufa.
sasa kwa hiyo tuache kwenda hospitali kupata dawa na badala yake tutende yaliyo halali?
manake e sioni tofauti ya babu wa loliondo na hospitali as long as kuna watu wanaokiri kunywa dawa na kupona.
Pili, je?? unataka kusema Lowasa akisimama na kuomba radhi tumsamehe na hivyo akigombea tumpe uraisi??
haya mabo ya dini yaache tunapokua tunajadili mustakabali wa taifa. maana ni kama kusema leo nami niichume nchi dhen afta time nitubu na kutemda iliyo halali then nitaishi milele.
tatizo waTz wana Yesu wa kwenye filam.ukimpata Yesu wa ukweli hauwezi kwenda hospital wala kwa babu,waendao kwa babu wanaludi walivyo.kwa Yesu walirudi wametakasika roho na mwili,tulio kwa Yesu hatuhitaji kikombe tunahitaji neno!Shika amri za Mungu ZOTE. Hautaenda kwa Babu.
Babu hatumii hata Biblia! Uchawi in another style. Najua utaniuliza kwani Yesu alikuwa na Bible? Nitakujibu Jesus is the Bible himself.