Eymael Kama Zahera kwa Mkwasa

MKWASA ANA MAJUNGUU USIPIME NA ANAUMIA SANA KUWA MSAIDIZI BASI TU AJIRA
KINGNE AMEWAFANYA VIONGOZI KAMA.MISUKULE WAKIFUKUZA KOCHA ANAITWA YEYE KAMA VILE AKUNA KOCHA MWINGINE ALIEFUNDISHA YANGA
Zahera alimkataa Mkwasa na Sasa Eymail anamkataa Mkwasa, tatizo Ni Zahera na eymael au tatizo Ni Mkwasa?

Bado Nina Imani Zahera kuliko Eymael na Mkwasa
 
Yanga ingefungwa leo ndo watu wangemtambua kuwa yeye Ni nani
 
Ngumu sana kuwa na makocha wenye sifa ya kuwa kocha mkuu ,then mmoja awe msaidizi ngumu hii

Mkwasa ana falsafa yake ktk uchezaji na huyu luc ana ya kwake kila MTU anaamini mbinu zake

Mkwasa angestaafu tu, MTU kaishafika level za Administration kwa kuwa Katibu Mkuu bado uhangaike kupanga koni uwanjani

Kazi ya ukocha msaidizi ni za vijana zaidi sio MTU km mkwasa mwenye leseni ya maana

Maoni yangu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapo umenena, shida nyingine ya Mkwasa ana hasira za kupitiliza
 
Timu zetu zipevuke na kuacha ubabaishaji kama kweli zinataka kukua. Hakuna timu imefanikiwa na kocha wake anachaguliwa wasaidizi. Ukimpa kocha kazi anapaswa kuamua wasaidizi wake. Hata United imewaajiri McKiena na Carrick kama wasaidizi lakini Ole ndiye aliyeamua kufanya nao kazi.
 
Ni wakati muafaka sasa kwa Mkwasa kuachana na Yanga ili kulinda heshima yake. Ni kweli Mkwasa ametoka mbali sana na Yanga tangu akiwa mchezaji, kocha na mpaka akawa kiongozi mkubwa ndani ya Yanga. Lakini kwa mazingira ya sasa ambapo baadhi ya wanachama wanamtuhumu Mkwasa kuhujumu timu ni ishara mbaya sana kwake kiasi hata heshima aliyojijengea kwa miaka mingi pale Yanga itakwenda kuharibiwa kwa sekunde chache kwani ndio tabia za wanachama wa hivi vilabu vikubwa viwili Simba na Yanga. Na mbaya zaidi kutuhumiwa na makocha wakuu wawili wa kigeni mara mbili mfululizo nalo ni suala la yeye kujiuliza sana uadilifu wake pale anapokuwa kocha msaidizi.

Kwanza lazima nikiri kuwa Mkwasa ni mmojawapo wa makocha wa tano bora sana kati ya makocha wote wakitanzania. Ukiangalia kuanzia uzoefu wake, vyeti na CV yake kwa ujumla imeshiba sana. Ushauri wangu wa bure kwake akiamua auchukue au auche ni kuwa sasa hivi atafute hizi timu za daraja la kati kwenye VPL awe kocha mkuu. Afanye kazi ionekane then Yanga wakishaona kazi yake kama watamuihitaji watamuita wenyewe tena kwa heshima kubwa awe kocha mkuu badala ya kila siku kuwa msaidizi tu. Kama Minziro ameweza kufanya maajabu na Mbao naamini "Master" Mkwasa anaweza kufanya maajabu zaidi akiwa na timu kama Namungo, Mtibwa, JKT, Ruvu, Kagera, n.k.
 
Anaweza kutafuta timu hata nje ya nchi akajipime ubavu, kwanini anataka lazima aifundishe Yanga?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom