Sijambo..mmh wapi huko ?kwani umerudi?Marhaba hujambo, kuna sehemu juzi nimeona MTU km wewe maeneo fulani
MTC | 101|
Unapozururaga
Hahahahaha..nimeacha kuzurura hayo maeneo..sikuwa Mimi.Unapozururaga
MTC | 101|
Hahahaha ujue nakujua vzr kuliko wewe unavyohisi kunijua
Hahahahaha I know lakini sikua Mimi..sizururi siku hizi.Hahahaha ujue nakujua vzr kuliko wewe unavyohisi kunijua
MTC | 101|
Kanieleza member mmoja anayefahamu jinsia yako.
Hahahaha, sasa siku nikikuona nakushtua
Hahaha..haya bwana.Hahahaha, sasa siku nikikuona nakushtua
MTC | 101|
Hahahaha, nakuzingua ,wasalimie huko aliko
Hahahaha, mkuu itakua we ni mkali wao ,safi sana
Aah wapi...wakali kina nyie.Hahahaha, mkuu itakua we ni mkali wao ,safi sana
MTC | 101|
Zimefika nawe wasalimie wa huko.Hahahaha, nakuzingua ,wasalimie huko aliko
MTC | 101|
Iyo nguo manyota dah..AF umecrop
HahahahaAah wapi...wakali kina nyie.
Wanawake toka wakiwa na miaka 5 wanapenda attention mfuatilie hata mwanao.