speed ya nini mkuu? na full screen si unaeka mwenyewe tu kuna ambazo sio full screen?
ubora ni kiingizio chako kama una decoder ambayo sio HD usitegemee kupata quality nzuri.
ubora mwengine ni build quality tu, ila nahisi vyote ni vya kichina, vitu bora huwezi vipata kwa bei rahisi hivyo