Muhimu ukasema na make au kama ni brand name, nimeshalia sana na hizi za mchina.kama kuna mdau anahitaji external hard disk,tuwasiliane.
500GB ni Tshs 200,000
1TB ni Tshs 250,000.
Nitakutafuta mkuu.Sasa Vitendo nitakupataje c'se ni kweli ninahitaji External Hard disk.
Please check me on (Itembe@hotmail.com). kama vipi utanipa namba yako ya simu ili tuwasiliane kiurahisi zaidi.