Tujifunze kuweka matangazo... Weka bei sio mtu anapiga simu mnaanza kuongea ishu ya bei.. Kama umeweza kusema unauza extrnal hard disk unashindwa nini kuweka bei?

juzi alhamisi kuna jamaaaa alinipigia simu kuhusu external hard drive but mpaka sasa hajanipigia tena kuhusu hio external hardrive niko nayo hapa nangojea mteja