ahhh bwana wee sasa na sie hapa tunao eac...lakini hatuingiliani kijeshi kwa mambo ya ndani......sidhani huo umoja wao una malengo ya kudumaza democrasia ......au kuingila mambo ya ndani ya nchi husika......bahrain ni kanchi kadogo....lakini kipo mahala muhimu....marekani wana kituo chao kikubwa cha jeshi...6th fleet...wamewatumia saudia kuuwa democrasia bahrain kwani wanajua watambiwa waondoshe kituo chao....thats the truth.....na sauidia hatakai democrasia jirani na mpaka wao....na ukichukulia oppsition hapo bahrain ni mashia ambao wana uhusiano na iran.....hivo afadhali akubali ghadafi aondolewe ili na yeye azzuie ushia dirishani kwake