L LIBRARY JF-Expert Member Aug 28, 2012 231 234 Dec 1, 2014 #1 Habari zenu wakuu wa kazi, Niana ujuzi wa kutosha kuhusiana na biashara hii ya agricultural exportation hasa katika maswala mazima ya documentation. Export parmits Fumigation procedures certificates of origin Reliese
Habari zenu wakuu wa kazi, Niana ujuzi wa kutosha kuhusiana na biashara hii ya agricultural exportation hasa katika maswala mazima ya documentation. Export parmits Fumigation procedures certificates of origin Reliese
T tpmazembe JF-Expert Member Jan 5, 2012 2,469 581 Dec 1, 2014 #3 nataka kuexport ufuta nje ya nchi. msaada please. unaweza ni pm au kutumia email:zansususolution@gmail.com
nataka kuexport ufuta nje ya nchi. msaada please. unaweza ni pm au kutumia email:zansususolution@gmail.com
M mama dunia JF-Expert Member Dec 22, 2011 420 84 Dec 1, 2014 #4 Good topic..nimekuwa mchakatoni so waweza kuwa msaada kwangu..ntakuandikia
I Ibra6 JF-Expert Member Jun 2, 2013 290 66 Dec 6, 2014 #8 Achana na mambo ya pm,weka mambo hadharani hasa wewe mwenye uzi tuelezee unachokijua kwenye haya mambo
Achana na mambo ya pm,weka mambo hadharani hasa wewe mwenye uzi tuelezee unachokijua kwenye haya mambo
Geofrey_GAMS JF-Expert Member Feb 15, 2012 496 228 Dec 6, 2014 #9 LIBRARY said: Habari zenu wakuu wa kazi, Niana ujuzi wa kutosha kuhusiana na biashara hii ya agricultural exportation hasa katika maswala mazima ya documentation. Export parmits Fumigation procedures certificates of origin Reliese Click to expand... mimi nahitaji kuexport cassava naanzia wap mkuu
LIBRARY said: Habari zenu wakuu wa kazi, Niana ujuzi wa kutosha kuhusiana na biashara hii ya agricultural exportation hasa katika maswala mazima ya documentation. Export parmits Fumigation procedures certificates of origin Reliese Click to expand... mimi nahitaji kuexport cassava naanzia wap mkuu
Baiskeli JF-Expert Member Dec 8, 2010 336 61 Dec 7, 2014 #11 tuwekee maelezo yote ya ku safirisha mazao ya chakula nje mkuu.
Mathematician JF-Expert Member Nov 8, 2009 326 108 Dec 19, 2014 #12 LIBRARY said: Habari zenu wakuu wa kazi, Niana ujuzi wa kutosha kuhusiana na biashara hii ya agricultural exportation hasa katika maswala mazima ya documentation. Export parmits Fumigation procedures certificates of origin Reliese Click to expand... Naomba ueleze hapa jukwaani chief wahitaji tuko wengi...
LIBRARY said: Habari zenu wakuu wa kazi, Niana ujuzi wa kutosha kuhusiana na biashara hii ya agricultural exportation hasa katika maswala mazima ya documentation. Export parmits Fumigation procedures certificates of origin Reliese Click to expand... Naomba ueleze hapa jukwaani chief wahitaji tuko wengi...
V viking JF-Expert Member Aug 23, 2012 2,143 1,291 Dec 19, 2014 #14 Hivi umemaliza darasa la ngapi ,sababu hata kuandika hujui ,njaa mbaya sana