Explosion in Nairobi

Rufiji we are dealing with people who are in self denial!

Askari Kanzu,

This is more than a denial; these people are delusional. It is sad what is ensuing in Kenya. Unfortunately, their government is full of leaders with insatiable appetite for fame. Everyone is looking for a nearby microphone to spew their empty rhetoric. This is the fifth incident in the span of four months and it seems Kenya's government doesn't know what to do. It is about time for Kenyans to hold this inept government responsible.
 
Awwww...it's so touching to see you guys so concerned about the state of Kenya, even as you continue to celebrate our misfortunes!
 
FBI joins investigation into Kenyan bomb blast
Posted: May 29, 2012 1:15 AM by Associated Press

NAIROBI, Kenya (AP) - An official says FBI agents are assisting Kenyan officials in the investigation into a large explosion in downtown Nairobi.

610x.jpg


610x.jpg


610x.jpg


x610.jpg
 
Instead of spending $ 500 millions in rolling 4G network, they should spend that amount in beefing up security.
Before this incident the govt is spending Ksh8B in rolloing out cctv cameras allover the coutrty and the budget proposals for Ministry of Defence and that of Internal security has been increased in this year's budget..so don't stress yourself so much,its our problem and we will handle it!
 
Wameyataka bwana! Wacha wakomeshwe kilowafanya waivamie somali ni kitu gani! Hata bado:D:D:D kudadadek safi sana alshabaab.
 
Naona watu wanataka manunguniko bila kuziua. nani kawazuzua akili zenu potovu wabongo? Lakini wabongo, swali mbona manunguniko? Serikali yenu huku wafisadi wakiachwa huru kuleta pesa zenu kenya kuliwa na kujenga magorofa.
 
Naona watu wanataka manunguniko bila kuziua. nani kawazuzua akili zenu potovu wabongo? Lakini wabongo, swali mbona manunguniko? Serikali yenu huku wafisadi wakiachwa huru kuleta pesa zenu kenya kuliwa na kujenga magorofa.


Nimecheka kweli! Hivi ulichoandika hapo juu ni Kiswahili au ni lugha gani? Aisee umenifurahisha kweli.............
 
Nimecheka kweli! Hivi ulichoandika hapo juu ni Kiswahili au ni lugha gani? Aisee umenifurahisha kweli.............

Wewe ni mwalimu wa kiswahili wa wapi/shule gani? unataka manunguniko mpaka ashubuhi? Wewe na wenziwe hamna la maana.
 
Police circulate Nairobi blast suspect photo

susp.jpg

Police spokesman Eric Kiraithe displays the photograph of a suspect they believe is behind the Nairobi blast May 29, 2012. SALATON NJAU
By NATION Reporter
Posted Tuesday, May 29 2012


Police have circulated a photograph of a suspect they believe was behind Monday's blast in Nairobi that left 33 people injured.

Police spokesman Eric Kiraithe said the man, Emrah Erdogan, is believed to have entered Kenya from Somalia on May 3 and appealed to the public to volunteer information.

"Any person with information on this person should provide the same to the nearest police station. He is believed to be either a citizen of Germany or Turkey and traveling on fake or forged papers,"
he said.

Mr Kiraithe said police had established that the lunch-hour explosion was caused by an improvised explosive device "planted in the building by criminal elements".

"The investigating team is now working to establish the identity of the perpetrators of this serious crime. In this respect, the team is zeroing on two male suspects whose profile they are piecing together," he said.

He said the detectives had recovered several materials from the scene for forensic analysis.

Daily Nation

 
Last edited by a moderator:
Hahahaha! I have to give it to you that's a good one.You Kenyans have the art of trolling on lock-down. I don't know why but you are good at making us feel so insecure it actually quite laughable.

Awwww...it's so touching to see you guys so concerned about the state of Kenya, even as you continue to celebrate our misfortunes!
 
What I am just saying is open your eyes. Nani alidhani machafuko yataanza kwenye kisiwa cha Zanzibar? Mukilala usingizi, sio Alqaeda watakuja, ni watu aina hawa wa zanzibar magaidi. Zanzibar has a bitter history with mainland. Hivyo kaa chonjo! Do not just delight in satarizing and procrastinating your parody on Kenya's woes

Mkuu Kibaridi, nikutoe hofu, situation ya Zanzibar siyo surprise, usione watu wanaongea hapa ukadhani ni kweli 'shocking' ki-hivyo. Kwa mtu wa nje anaweza asijue kinachoendelea na akadhani issue ni 'bitter history with mailand'.

Haya na nyie, poleni mabomu Nairobi, naona week hii imenuna kwa East Africa.
 
....the war on terror has been very faked to the extent that we fail to believe any of this are real attack! Nowdays you can burn your house and govt/police will just say its shabaab.
Is it that there is no real threat? 5th incident in less than 6months??
Is it that the police/cid /kenya are incapable of stoping this series of attacks??
Are these staged attack (no one died apparently) with political motives?
As eastafrican and frequent kenya visitor i need to be exttra vigilant....i see those security checks at malls could'nt help...poleni victims
 
Tunaangalia Uhusiano ulioko Afrika mashariki na sio kujaribu kupindisha nyuzi. Tafadhali! Tazama historia ya EA muongo moja uliopita na visa vya ugaidi na ujaribu kujifafanulia kuwa ugaidi umeingia EA. Sio suala la nani ametakasika akangara au nani muovu. Ni suala nyeti ambalo haliitaji kufanyiwa uchanganuzi bila kuzuia mafikira kuingiliwa na jazba zezote za kimitaa.

Mr.Kabaridi unachosema ni kweli wala tusijidanganye kwamba kuna nchi Africa Mashariki ambayo hiko salama dhidi ya - determined TERRRORISTS, wenzetu wazungu usema a good terrorist ni yule aliye kufa! Wala tusidanganye kwamba fujo fujo za watu wa Mombasa na watu wa Zanzibar hazina uhusiano wowote, hawa jamaa lao moja! Wewe mtu hata kama hataki muhungano kwa nini achome Kanisa!

Huu si wakati wakubezana na kutuniana misuri na kuzungumza mambo ambayo hayana mshiko - hili ni janga la sisi wote raia wa Africa Mashariki bila kujari tunatoka nchi gani, cha muhimu hapa ni kupeana mbinu za kujikinga na wendawazimu hawa ingawa sirahisi kujikinga 100%.

Niliwahi kuishi na mwanafunzi Mu IRISH kwenye council flat moja bila kujua kwamba alikuwa ni member wa IRA, tunapika tunakula, ku-study na kuzungumza mambo mengi tu lakini hakuwahi kunambia chochote kuhusu harakati zake! Mwisho mwishoni ndio kunieleza alikuwa nani - si hilo tu kanieleza kwamba Gaddafi alikuwa anawapatia silaha na explosives hatari wanazichimbia kwenye milima ya Lake Districts (North West) hakunieleza walikuwa wanatumia njia gani kizisafirisha kutoka Libya, nilishtuka sana!

Kutokana na mazungumzo na jamaa huyo, ndio nikajua mbinu zao na jinsi ya kujikinga/kuchukua tahadhali ya mapema sana kabla ya kupata majanga, mpago wenu wa kusambaza Camera za CCTV mji mzima zitasaidia kiasi lakini aliwezi ku-contain watu hawa na ingekuwa bora zaidi mkitumia IP Cameras badala ya hizi za mawaya ambazo zinaweza kuhujumiwa kirahisi. Wasomaji wanaweza kushangaa hivi jamaa huyu anataka kutueleza nini hasa!

Ninacho taka kusema humu ni kwamba kutokana na mambo niliyo wahi kuelezwa nimeona ni vizuri niwape mbinu wakina Livefire, Moyo, Kabaridi (ntawatumia as a private message) ili waweze kuzungumza na wahusika (POLICE/Usalama) huko kwenu tahadhali nyingine za muhimu wanazopashwa kuzichukua badala ya kutegemea CCTV tu (najua kuna watu wengine vichwa ngumu wanaweza kusema sisi Wakenya tunajitosheleza hatuitaji mawazo yoyote kutoka Tanzania, si wote lakini wapo!).

Hapa tunasaidiana kwa kutoa mawazo ya kujenga/kusaidia katika usalama wenu na sisi, remember two heads are better than one tukianza tena mambo ya kuchaganya changanya mambo au mmoja kujiona zaidi hawa watu watatumaliza. Tutakiane heri TU.
 
Back
Top Bottom