Aisee umenikumbusha kitu mkuu kuna mmaza mmoja amebabuka kawa kama aliungua na moto muda mwingi anajitibu na asali madawa ya kienyeji sababu alitumia vipodozi vya insta aka mwajuma ndala ndefu skincare products
Kuna tar ya bidhaa kuexpire na kunankuexpire baada ya kufungua.hii watu hawazingatii.kuna bidhaa ulishafungua mwisho kutumia siku Saba zingine week mbili.hata kama expire date iko mbali.sasa mtu anatumia mafuta ya kupika miezi mitatu au miwili au lotion .sio sawa.msome.