EXPERIENCE

dranx

Senior Member
Dec 31, 2018
193
225
Habari zenu wana jamvi natumaini wote muwazima.
Nimeanzisha Uzi huu ilikupeana uzoefu wa boarding school.
Yaani mwanafunzi anatakiwa expect nini akienda boarding school
 

Chabrosy

JF-Expert Member
Feb 12, 2018
1,499
2,000
Dah kitambo nakumbuka miaks iyo 2004 naenda Advsnce galanos sec Tanga dah maiasha ya galanosi yalikuwa mazuri sana kuchunga ng'ombe kulima vitu vingi yani kwaiyo mwanao aexpect kukutana na mambo mengi wizi ujanja ujanja yani mambo ni mengi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom