Experience: Wanawake WASIO na uvungu mguuni

Basi siku hizi wanawake karibia wote HAWANA UVUNGU. Maana hizo tabia wengi wanazo😎😎
 
Kazi za shock up kwenye gari...
Ndy kazi za uvungu wa miguuni kwa mwanadamu.
 
Safi Leo umeleta story fupi 🙏🙏🙏
 
Nilipoona neno uvungu wa mguu Moja kwa Moja nikadhani ni maeneo ya ukingo kwa mavuzi.

Ila hii akili yangu!!
 
kwa utafiti wangu, kukosa uvungu sio kesi, mimi kuna mtu ninamfahamu hana uvungu mguuni na anatabia njema kabisa.
 
Mjomba unakojolea patamu 😀
Huna akili mwanamke mnene huyo hana kazi zozote hao kazi yao kitandani ni kula muwa mwanzo mwisho utafikiri unafanya mapaenzi na Chatu waafrika wengi wanapenda wanawake wanene sijui kwa nini?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…