Huyu mwanamke mkuu DeepPond uko nae siku nyingi sana, binafsi naamini kuna muda hizi purukushani nazo ndio zinakufanya ufurahie penzi lake. Najua hili utasema ukweli, maana kwa simulizi zako mbali mbali, huwa mnavurugana lakini siku zote mnaishia pazuri na wewe mwenyewe unasema. Siku shauri umwache endelea nae.Ha ha ha...ndo maana nmeomba wazoefu watoe experience, WA kwangu ni pasua kichwa
Huyu uwa tunaachana,tukimissiana, tunarudiana Kwa sex, hatukumbuki Hata kujadili kilichotusababisha tugombane😀Huyu mwanamke mkuu DeepPond uko nae siku nyingi sana, binafsi naamini kuna muda hizi purukushani nazo ndio zinakufanya ufurahie penzi lake. Najua hili utasema ukweli, maana kwa simulizi zako mbali mbali, huwa mnavurugana lakini siku zote mnaishia pazuri na wewe mwenyewe unasema. Siku shauri umwache endeleea nae.
Hii imakaa vizuri sana... 😉Huyu uwa tunaachana,tukimissiana, tunarudiana Kwa sex, hatukumbuki Hata kujadili kilichotusababisha tugombane😀
Toni Braxton mvungu anao au hana?Huyu uwa tunaachana,tukimissiana, tunarudiana Kwa sex, hatukumbuki Hata kujadili kilichotusababisha tugombane😀
Na yeye pia keshajua nini udhaifu wako, basi maisha yanaenda..Ha ha ha....kikubwa nishamjua udhaifu wake, kwaiyo naishi nae Kwa akili Kama Biblia ilivotuagiza😀
KwakweliHalafu itakuwa kanda za ziwa hzo hawaachi ushirikina
Kwani si tunazungumzia miguu au?I
Utakuwa na tako wewe, hiyo ndiyo habari hakuna Cha uvungu wala flat.
Uroho tuJapo sura sijaiona ila unakojolea mali
Kweli ila tako linasababisha tusiangalie hiyo miguu. Ni hayo tuu dada.Kwani si tunazungumzia miguu au?
ebu nioneshe nilipo andika uvungu unaruhusu hewa kupita! NIONESHEWe ndo bure kabisa, kwahiyo uvungu unaruhusu hewa kuingia kwenye kiatu🤣
Hoja hapo ni Mishipa ya damu iiyopo chini ya mguu, kwa watu wasio na uvungu hii mishipa inakandaizwa na sakafu/soli hivyo ni rahisi kua damaged kitu kitakachoathiri mzunguko wa damu kuanzia miguuni kupanda juu mapka kwa ubongo ikiwa atasimama au kukimbia kwa muda mrefu.
Oyaa😂Wanawake ambao miguu yenu haina uvungu wala hamna mikosi yoyote ila ni miguu yenu tu ndo imekaa kama chanuo la kuchania nywele
Kajirudie mwenyewe.ebu nioneshe nilipo andika uvungu unaruhusu hewa kupita! NIONESHE
🧷Kajirudie mwenyewe.