Experience: Wanawake WASIO na uvungu mguuni

Mimi nipo nae

Picha linaanza wakat namuoa akajifanya ana wivu sana mara anataka kujiua,siku moja nikamuacha nikajua utani akajipiga kitanzi kweli mpaka akatoka povu nikamuokoa

Baada ya hilo tukio wazee wakaniambia huna mke hapo achana nae,sasa alikuwa na mimba na mimi naogopa mtoto kukua bila malezi ya baba,

Ana hasira kuna muda anakuwa kama chizi kuna muda anakuwa kama chui,kuna muda huwa najitutumua kumpiga ila unaweza upige mpaka uue ila hasikii yaan akiwa na hasira ni kama anapandisha mapepo,wazee wamenitenga wanasema mkiuwana msitutafute

Kila anapohisi nina wanawake lazima nae akipata nafasi lazima achukue hela kwa kuiba au makusudi

Kuna muda anaweza kulia tu pasipo sababu,yaan mumekaa unashangaa mtu chozi linamtiririka

Anafurahia sana tunapopata matatizo eti hela itumike sana nikose ya kuhonga

Washikaji zangu wote hawataki anasema ni malaya,mpaka jamaa wanaogopa kuja kwangu,alishasema ndugu wa kike ambao sijazaliwa nao wasifike kwetu maana hatawaelewa

Kwao keshanichafua sana yaan naonekana mtu mbaya sana,ingawaje ni kweli nina mchepuko ila kuna wakat nachepuka kibabe kwasababu yake
 
Mzee nami napambana nae yani ni pasua kichwa hana adabu ni kiburi mwanzo mwisho
 
Unavijua viatu vya wanawake wewe, soli size ya karatasi mikanda kama uzi wa nguo. Almost mguu unakua wazi ila tu hawakanyagi chini.
Achana na kuvijua viatu vya wanawake atuonyeshe yeye siku hiyo mrembo wetu alivaa nini acheni maswala ya kuhisia!
 
mgonjwa yuko na dripi kitandan kalala na sasa alijuaje huyo binti mguu wake hauna uvungu au alimsalimia mama kwa kutumia mguuu
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…