kivyako
JF-Expert Member
- Feb 2, 2012
- 14,342
- 12,065
Good observation!View attachment 932159
Experiene: Sitting Arrangement ya Watumbuliwa:
1. Watumbuliwaji wawili sharti wakae karibu;
2. Watumbuliwaji wawili sharti wawe wenye sura zilizo katika lindi la mawazo;
3. Wa kulia lazma ashike tama;
4. Wa kushoto lazma ashike kabrasha;
5. Wa kushoto lazma avae sana
Aione Mshana Jr katika ule uzi wake