queenlishas JF-Expert Member Joined May 25, 2014 Posts 288 Reaction score 76 Jun 7, 2014 #1 Habari wana jamvi..ivi wale wanaotangaza kaz ambazo hazina ata mshahara mzuri na kuandika uwe na experienc ya 5 au ata 10 years uwa wanamaamisha nn?
Habari wana jamvi..ivi wale wanaotangaza kaz ambazo hazina ata mshahara mzuri na kuandika uwe na experienc ya 5 au ata 10 years uwa wanamaamisha nn?
K KAKA YAKO NAPITA JF-Expert Member Joined May 16, 2014 Posts 1,322 Reaction score 233 Jun 7, 2014 #2 queenlishas said: Habari wana jamvi..ivi wale wanaotangaza kaz ambazo hazina ata mshahara mzuri na kuandika uwe na experienc ya 5 au ata 10 years uwa wanamaamisha nn? Click to expand... wanamanisha uwe umefanya kazi miaka 10 nafikiri umenielewa mkuu hpo shda
queenlishas said: Habari wana jamvi..ivi wale wanaotangaza kaz ambazo hazina ata mshahara mzuri na kuandika uwe na experienc ya 5 au ata 10 years uwa wanamaamisha nn? Click to expand... wanamanisha uwe umefanya kazi miaka 10 nafikiri umenielewa mkuu hpo shda
Matendo Andrew JF-Expert Member Joined Apr 1, 2014 Posts 750 Reaction score 367 Jun 7, 2014 #3 Kazi hiyo kimsingi lazima INA marupurupu Mengi yaani (WIZI)
iPhone 5S Senior Member Joined Jun 6, 2014 Posts 158 Reaction score 102 Jun 7, 2014 #4 Wanakuwa tayari wana watu wao tayari. So ni njia moja wapo ya ku-short list before applications
HP1 JF-Expert Member Joined Feb 4, 2012 Posts 3,362 Reaction score 878 Jun 7, 2014 #5 Itakuwa ajira ya high level kwa hiyo anatakiwa mtu experienced na matured enough
queenlishas JF-Expert Member Joined May 25, 2014 Posts 288 Reaction score 76 Jun 7, 2014 Thread starter #6 Sa wanategemea mie graduet nkapate wapi xperienc yote iyo na kama si wao kunipa ntapata wapi mana kila kaz uwe na experienc Jamaaaan!!!
Sa wanategemea mie graduet nkapate wapi xperienc yote iyo na kama si wao kunipa ntapata wapi mana kila kaz uwe na experienc Jamaaaan!!!
bily JF-Expert Member Joined Apr 5, 2012 Posts 8,029 Reaction score 5,816 Jun 7, 2014 #7 Umenena vema sana queenlishas tukiwapata wadada 50 kama wewe hakika mwakani ccm wanaondoka bila hata kampeni ya machopa. queenlishas said: Sa wanategemea mie graduet nkapate wapi xperienc yote iyo na kama si wao kunipa ntapata wapi mana kila kaz uwe na experienc Jamaaaan!!! Click to expand... Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Umenena vema sana queenlishas tukiwapata wadada 50 kama wewe hakika mwakani ccm wanaondoka bila hata kampeni ya machopa. queenlishas said: Sa wanategemea mie graduet nkapate wapi xperienc yote iyo na kama si wao kunipa ntapata wapi mana kila kaz uwe na experienc Jamaaaan!!! Click to expand...