ile movie ni theatre quality... wametumia tu camera nzuri hawa jamaa.. afu unauliza inaleak vipi huku release date bado, my guess release date umeiona imdb au wikipedia, hao wanatoa release dates mara nyingi kwa USA theatres, movie releases hua zinatofautiana muda mwingine, mfano movie ya captain america 2 ilitoka Korea mwezi moja kabla haijatoka USA, How to train your dragon 2 imetoka USA baada ya siku ishirini ikaonyeshwa Korea, Snowpiercer imetoka korea kwanza ikaja china baada ya miezi zaidi ya mitatu, ikaenda USA miezi zaidi ya mitano afu ndo ikawa released kwenye BluRay.....