Expediting evolution

Expediting evolution

FRANCIS DA DON

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2013
Posts
40,530
Reaction score
46,614
Adolf hitler alitekeleza hili kwa njia zifuatazo:-

1.) Vijana wote wa kijerumani kabla ya kuruhusiwa kufunga ndoa na kupata watoto walilazimika kufanyiwa check up ya ki-vinasaba ili kubaini kama wana kasoro zozote za ki-genetic zinazoweza kuchafua 'gene pool' ya wajerumani. Katika kutekeleza hili walipimwa IQ, physical appearance among others. Wale waliofeli hizo 'test' walihasiwa au kuuwawa kabisa kuhakikisha 'kasoro' hizo haziwi propagated kwenye vizazi vijavyo.

2.) Wale walio pass hizo 'tests' walipewa incentives za hali ya juu sana kwa kupewa mke/mume, nyumba, gari na hata mtaji wa kuanzia maisha. hii ni kuhakikisha zile desirable traits zinaendelezwa.

3.) Ili kuandaa makao ya taifa kubwa la kijerumani alilotaka liijaze dunia (The Aryan race), aliteka nchi jirani zenye watu aliowachukulia kuwa ni 'inferior' kwa taifa la wajerumani na kuwateketeza wale alioona hawafai kabisa kwa kuwachoma moto kwenye matanuru, na wale waliobaki aliwatumia kama watumwa kwenye torture/labour camps. Hata hivyo nao walikufa na kutupwa kama disposable tissues/toothpicks.

Matokeo.
Ultimately ndoto yake ilizimwa. hata hivyo inasemekana kuna kiwango alichofanikiwa katika kuisafisha gene pool ya wajerumani (IQ za hali ya juu na mwonekano unaovutia).

I stand Non-aligned on the matter. Mchango wako utatia mwanga juu ya mbinu hii ya kimapinduzi.

DON FRANCIS
 
Mawazo yake yalikuwa yakikale fikra zake zilikuwa fupi kama mwezi wa 2
 
Back
Top Bottom