Expected delivery date (edd) | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Expected delivery date (edd)

Discussion in 'JF Doctor' started by Tingitane, Jul 11, 2012.

 1. T

  Tingitane Member

  #1
  Jul 11, 2012
  Joined: Apr 18, 2012
  Messages: 22
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Ndio wana JF

  Naomba kuuliza kuna habari kwamba ili kujua siku anazojifungu mwanamke mjamzito unaweza kuanza kuhesabu siku kwa kutumia ultra sound iliyopigwa ndani ya wiki nane mpaka kumi na mbili.Naomben mawazo yenu na maelezo ya ziada kama yapo.
   
 2. Mahmetkid

  Mahmetkid JF-Expert Member

  #2
  Jul 11, 2012
  Joined: Apr 20, 2012
  Messages: 557
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 45
  Katika hali ya ubora zaidi tunashauriwa mama mjamzito kufanya vipimo vya mawinbi sauti katika kila baada ya miezi mitatu.

  Vipimo vya mawimbi sauti vya kisasa kabisa vina uwezo wa kujua ni kwa jinsi gani mtoto tumboni anavyoendelea ( ukuaji wa urefu, unene na uzito), mtoto amekaaje na jinsia yake, pia umri wa mtoto aliye tumboni kwa siku na wiki. Na hina uwezo wa kutambua lini mama mjamzito atajifungua

  Sasa la mama mjamzito kujifungua inategemea na afya na tabia yake.
  -Kama ana afya bora ataweza kujifungua katika makadirio ya siku zake za kujifumgua.
  -Kama tabia yake ni kukaa tu kizembe, atachelewa kujifungua, kwani uchangamfu wa mama kwenye kufanya kazi na mazoezi vina mchango mkubwa sana kwenye kujifungua.
   
Loading...