Expart Linkers, hawa ni matapeli?

luangalila

JF-Expert Member
Jan 12, 2014
6,338
6,912
Hawa jamaa EXPART LINKRS walitoa nafasi nyingi za kazi iv majuz ila ajabu wame shortlist watu alafu wanadai interviewee aje na 25,000/TSH ..jaman hawa ni majipuu
 
wanasema interview lini mi mwenyewe wamenitumia sms kua nimekua shortlisted wameniambia nicheck email lakini email hawajatuma
 
i

mimi pia ilikuwa ivyo lkn nikawatumia sms kuwaambia mbona hamjatuma email then wakanitumia huo ujinga wa interview ya hela alafu itafanyika se cliff,.. ajabu ni kwamba eti ile 25,000/ ni kwa ajili ya kuwalipa wale ma officer na gharama za chakula kwa interviewee
 
hapo kazi ipo kwelii au ndo kujipatia ujira afu kingine maelezo ya kazi ya kampuni husika hakuna sijuii tunaena kujibu nini
 
ebwana mi siendi sijawai kuona interview, mtu unatozwa hela kwa ajili ya interview si bora wangesema iyo kazi unanunua
 
Back
Top Bottom