Expanding/repairing usb ports?

Expanding/repairing usb ports?

Njunwa Wamavoko

JF-Expert Member
Joined
Aug 11, 2012
Posts
5,757
Reaction score
2,388
wakuu nina Toshiba ina Ports mbili za usb lkn tundu moja limechomoka jino...kama kuna fundi wa ku repair hiyo kitu ni direct hapa bongo

naombeni pia kifaa ambacho kinaweza chomekwa kwenye port moja lkn kika provide extra ports kama ifanyavyo multi plug kwenye umeme

Sababu matundu mawili hayo huwezi hata chomeka modem na flash kwa wakati mmoja

Natanguliza shukrani
 
nenda maduka ya vifaa vya computer ulizia USB HUB...itakupa uwezo wa ku expand usb zako, nyingine zina port nne hadi tano..haizidi buku 10...
 
nenda maduka ya vifaa vya computer ulizia USB HUB...itakupa uwezo wa ku expand usb zako, nyingine zina port nne hadi tano..haizidi buku 10...
you are the best sijui nani ...vp kuhusu ku repair
 
you are the best sijui nani ...vp kuhusu ku repair
ku repair itategemea na jinsi hiyo port yenyewe ilivyoharibika na ujuzi wa fundi mwenyewe aneetengeneza...but general, kurepair usb ports si kitu rahisi kibongobongo...ndo maana unashauriwa kuwa makini sana na hizi vitu..
 
Kaka na mm nahitaji hub lakini siyo USB, ni serial yenye at least 4 ports
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom