Hakuna kilichoniondoa jf, nilikuwepo ila siku jisajiri kama member wa hii familia zaidi ya kusoma comments mbali mbali za watu.
Swala la uwezo wangu wa kufikiri ni mkubwa tu ndo maana nipo jamii forum. Kati ya majukwaa ninayo appreciate, mojawapo ni jf. Ko ondoa shaka mkuu juu hilo, nitatumia uwezo wangu kuhoji, kutoa ushauri na kuomba msaada