Exim Bank jipangeni

Exim Bank jipangeni

Kampuni yetu tunahifadhi pesa huko na pia mimi salary yangu huwa inapitia huko.. Kiukweli so far sijawah kujutia kutumia hii bank.. Wako vizuri kwa mtazamo wangu
Ok nitawatembelea hao jamaa mkuu.
 
Foleni+poor customer care
Moja ya kitu kinachokela ni kupanga foleni kuchukua hela yako. Utadhani unaitafuta hela, wakati principally hela inatafutwa mara moja
 
Binafsi nilishakua mteja wa NMB nikaachana nao, nikaja CRDB niliposettle hadi leo,nikaionja Stanbic sikukaa, baadae nikaja bank ya posta nikaona hovyo. About 3 months ago nikaingia rasmi Exim Bank.

Hii bank inashida sana, inahita uwe na kiwango cha juu sana cha uvumilivu ili uwe mteja.

1. Inachukua zaidi ya siku 1 kupata akaunti namba.

Nilifungua akaunti nikadeposit kiwango 'kikubwa kidogo' cha ajabu akaunti kuipata ikabibidi nisubiri siku mbili ndio nikaipata.

2. Kujiunga Exim Mobile nayo ni kimbembe.

Kujiunga Exim mobile ni suala la kusubiri masaa 72.

3. ATM Cards.

Niliipata ATM card baada ya week 3, nilipoipata nikaambiwa nisubiri 24 hours ndio ifanye kazi. Masaa 24 yaliisha, mida ya saa 7 usiku niko bar hela imekata, naingia naambiwa card is invalid. Exim mobile tizi. Kesho yake naenda branch naambiwa subiri iko kwenye Queue ya Activation.

Basi nikaomba Internet mobile.

Nikajaza form nikaambiwa nisubiri masaa 24, yalipofika naambiwa email haiko registered na account. Kuulizia naambiwa niende branch. Branch wanadai siku nafungua account, ofisa aliyenihudia alisahau kuregister email yako. Hivyo niandike request letter kwq manager..

Dunia ya leo customer anazunguka weeks kupata huduma!!!!

Nilichogundua.

Hi bank kila kitu weki centralize.

Kila kitu kinafanyika headquarter. Dunia ya leo huu ni mfumo wa kizamani sana. Zipeni branch uwezo wa kufanya mengi.

Unless mtapotea. Waulizeni ttcl walikufaje. Wewe unaandika barua kwa manager kuomba bundle[emoji23]
Pole mkuu ,,,yote hayo yasingekupata ungekua na barclays unapata account ndani ya saa moja na ATM card hapohapo
 
Kichefu chefu Cha kifo njoo ACB mkuu matawi yao ikifika saa 12 tu jioni ukiingiza card tu unapata majibu, account yako haisomeki, kumbe matawi yao mengi hawaweki hela[emoji23]
 
HSBC ya Hong Kong raha sana.

Unafungua account kwa phone call na a simple email unatuma documents zako. Ndani ya siku 3 account yako ipo hewani.

Hata FNB Tanzania wapo vizuri, ndani ya masaa mawili kila kitu kipo hewani kuanzia account, ATM card, internet banking na mobile banking.

Wanatatua matatizo yako kwa kuongea na simu tu.
Hawa FNB nataka nifungue akaunti huko, nimesikia sifa zao sana
 
Equity bank ndiyo bank ya ukweli,,,.Nilitaka kufungua account mwezi uliopita wakaniambia card ntapata baada ya wiki 2. Nikaenda zangu equity kufungua account ya pili na nikapewa visa card siku hiyo hiyo.Hata ukipoteza card unaenda bank na police report unapewa card on the same day.
[emoji15] [emoji28] kweli mkuu
 
Hahahaa hii kali... Benki za kibongo na za wahindi zote ni za kithenge
Hatari mkuu juzi kidogo nilale njaa na pesa ninayo ktk acc nilitembea kidogo nifike kongowe kwa miguu nikijipa matumaini labda naweza fanikiwa ATM inayofuata....[emoji28] [emoji28]
 
Back
Top Bottom