Chilisosi
JF-Expert Member
- Oct 19, 2008
- 3,050
- 748
Waungwana, naomba kuuliza, Naishi ugaibuni na nilimaliza shule Miaka miwili iliyopita na sasa nataka kurudi nyumbani na vitu vyangu, Naomba kuuliza je bado ninahaki ya tax exemption au sinahaki hiyo tena? pia naomba kujua ni baada ya muda gani unahaki ya kupewa tax exemption baada ya kumaliza shule ?
Mdau
Mdau