Wandugu Wasalaam,
Nisaidieni wale wanye uzoefu wa hii punguzo la Kodi kwa Walimu anapoagiza gari kutoka nje.
Mfano: Kuagiza gari from Japan ni USD 2400 na shipping 1500 nataka kujua hii Exemption inakuwa apply kivipi na kwa gharama hiyo itafika kiasi gani mpka inakuwa Barabarani.
Natanguliza shukrani
kurunzi