Mkuu andika hoja, sidhani kama kuna kichekesho humu JF zaidi yako maana wewe ni kusubiri Lunyungu aandike kwanza ndio urukie mkuu,
Hapo juu unajaza uchafu tu hoja huna mkuu, tafuta hoja kwanza ndio ujibu, kama huwezi waachie wengine, msimamo huna mkuu kaaa pembeni!