Mpanda Merikebu
Senior Member
- Dec 27, 2007
- 170
- 2
Mkuu Mlalahoi,
Muungwana na el, walishaachana njia panda siku nyingi sana, isipokuwa tu el alikuwa mjanja sana na ku-delay the process, na ni kutokana na mikakati ya underground ya el kujitayarisha na 2010, muungwana alikuwa amesubiri mkuu ajivishe kitanzi mwenyewe, el aliamini kuwa six atazima ngoma kwa kuzima ripoti, kutokana na ile jamba jamba aliyomtia kwenye kesi ya Malima, and six almost did, lakini hakujua kuwa Mwakyembe, alikuwa amepewa green light na muungwana, maana at one point hata Mwakyembe mwenyewe hakuwa na uhakika kuwa ripoti itakubalika, mpaka alipokwenda kumuona muungwana uso kwa uso na ripoti na kupewa go ahead, six alipotaka ku-punch na gear ya kusafiri, muungwana, alimpigia simu kumuuuliza unakwenda wapi? forget hiyo safari tulia hapo ninakuja, muungwana hakuenda Muhimbili kwa Kubenea bila sababu, na Mwakyembe hakuiweka kwenye ripoti bila sababu, and the rest of the story,
lakini walikuwa wameshaachana njia panda siku nyingi, na sio kwa bahati mbaya muungwana amempa mtu wa idara u-PM, kuna sababu nayo ni el!
Mkuu Wangu Mpanda Merikebu,
ze dataz ni kwamba,
Mahakamani hataenda mtu, maana wakithubutu serikali nzima itaanguka chini hilo halina ubishi, Muungwana, huenda hana uwezo mkubwa wa kutawala, but, ni mtoto wa mjini mwenye very strong skills za ku-deal na watu, hasa viongozi wenziwe, ni mjanja sana kuliko wananchi wengi tunavyofikiri, siku zote mkuu hufuatilia kwa makini who are the kingmakers, huwa hawaachi mbali hata kama wako upinzani, kwenye hili huwatafuta mwenyewe usiku, unajua the man inapofika usiku anakuwa Invisible na ku-take care mambo yake mengi muhimu kisiasa,
Alipopewa urais, aliambiwa na ccm-brass asimpe el, ila ampe mp, akabisha sana na kuwatishia the brass, alipotimiza nia yake, akaamua kuwalipa the brass, kwa safari nyingi za nje, all paid for, pamoja na maneno mengi ya watu ukweli ni kwamba Richmonduli ilimshitukizia kama sisi wote wananchi wa kawaida, maana yeye alishatamba kwa wananchi kuwa umeme unakuja, akiamini Richmonduli itakuwa the answer, kumbe jamaa wamempandisha mkenge, aliposikia mtu wa kwanza kumkamata alikuwa lm, ambaye alimpa ripooti yote maana lm alikuwa anakusanya tu dataz za kujikinga kwa vile hawakumpa hata senti moja,
muungwana akarudi kwa the brass, na kuwaambia kuwa they were right choice yake ya pm haikuwa nzuri, sasa anahitaji msaada akaambiwa hiyo hiyo Richmonduli ndiyo itakayomuokoa alilie ripoti, hm akakusanya ripoti kabla hajaenda kwa muungwana, akaipitisha kwa brass kwanza, wote wakaipa ok ndio akaambiwa aende nayo kwa muungwana, el alipoambiwa yaliyomo kwenye ripoti akawaomba brass isipelekwe bungeni, akaambiwa too late, akatishia kujiua iwapo itapelekwa, akaambiwa tutakupa kamba ya kujitundika, ripoti ikapelekwa el chali, muungwana akajaribu ku-lobby for tyson kwa brass, akaambiwa choice bado ni ile ile ampe mp,
Everything sasa hivi ccm ni under control ya the brass, hata muungwana mwenyewe sasa hivi anaripoti kwao, mp na mkuchika ndio watu wa the brass, kwa sasa ndio the powers, kwa hiyo el na wenziwe sasa wako under the brass watch, maana hata muungwana hawezi hii vita inayoendelea sasa na inayokuja...........!
tutaendelea next time, stay tuned..........only kwenye JF I love it where we dare kumkoma nyani mchana kweupeee!
.-(1) Bila ya kuathiri masharti mengineyo yaliyomo katika ibara hii, Rais anaweza
kutenda lolote kati ya mambo yafuatayo:-
(a) kutoa msamaha kwa mtu yeyote aliyepatikana na hatia mbele ya mahakama kwa kosa
lolote, na aweza kutoa msamaha huo ama bila ya masharti au kwa masharti, kwa mujibu
wa sheria;
(b) kumwachilia kabisa au kwa muda maalum mtu yeyote aliyehukumuwa kuadhibiwa
kwa ajili ya kosa lolote ili mtu huyo asitimize kabisa adhabu hiyo au asitimize adhabu
hiyo wakati wa muda huo maalum;
(c) kuibadilisha adhabu yoyote aliyopewa mtu yeyote kwa kosa lolote iwe adhabu
tahafifu;
(d) kufuta adhabu yote au sehemu ya adhabu yoyote aliyopewa mtu yeyote kwa ajili ya
kosa lolote au kufuta adhabu yote au sehemu ya adhabu ya kutoza, au kuhozi (au
kuchukua) kitu cha mtu mwenye hatia ambacho vinginevyo kingechukuliwa na Serikali
ya Jamhuri ya Muungano.
Nasikia Zitto atakuwa ndani ya nyumba...
Kama ni kumlinda Lowassa Jk ana uwezo huo,Ibara ya 45 ina mruhusu
Kauli zingine hazina hata radha...Naamini JF huru ndio itakuwa Chama Cha Upinzani.tusikate Tamaa Bali tuweke Msimamo thabiti sababu Subira huvuta Heri
Mkuu Wangu Mpanda Merikebu,
ze dataz ni kwamba,
Mahakamani hataenda mtu, maana wakithubutu serikali nzima itaanguka chini hilo halina ubishi, Muungwana, huenda hana uwezo mkubwa wa kutawala, but, ni mtoto wa mjini mwenye very strong skills za ku-deal na watu, hasa viongozi wenziwe, ni mjanja sana kuliko wananchi wengi tunavyofikiri, siku zote mkuu hufuatilia kwa makini who are the kingmakers, huwa hawaachi mbali hata kama wako upinzani, kwenye hili huwatafuta mwenyewe usiku, unajua the man inapofika usiku anakuwa Invisible na ku-take care mambo yake mengi muhimu kisiasa,
Alipopewa urais, aliambiwa na ccm-brass asimpe el, ila ampe mp, akabisha sana na kuwatishia the brass, alipotimiza nia yake, akaamua kuwalipa the brass, kwa safari nyingi za nje, all paid for, pamoja na maneno mengi ya watu ukweli ni kwamba Richmonduli ilimshitukizia kama sisi wote wananchi wa kawaida, maana yeye alishatamba kwa wananchi kuwa umeme unakuja, akiamini Richmonduli itakuwa the answer, kumbe jamaa wamempandisha mkenge, aliposikia mtu wa kwanza kumkamata alikuwa lm, ambaye alimpa ripooti yote maana lm alikuwa anakusanya tu dataz za kujikinga kwa vile hawakumpa hata senti moja,
muungwana akarudi kwa the brass, na kuwaambia kuwa they were right choice yake ya pm haikuwa nzuri, sasa anahitaji msaada akaambiwa hiyo hiyo Richmonduli ndiyo itakayomuokoa alilie ripoti, hm akakusanya ripoti kabla hajaenda kwa muungwana, akaipitisha kwa brass kwanza, wote wakaipa ok ndio akaambiwa aende nayo kwa muungwana, el alipoambiwa yaliyomo kwenye ripoti akawaomba brass isipelekwe bungeni, akaambiwa too late, akatishia kujiua iwapo itapelekwa, akaambiwa tutakupa kamba ya kujitundika, ripoti ikapelekwa el chali, muungwana akajaribu ku-lobby for tyson kwa brass, akaambiwa choice bado ni ile ile ampe mp,
Everything sasa hivi ccm ni under control ya the brass, hata muungwana mwenyewe sasa hivi anaripoti kwao, mp na mkuchika ndio watu wa the brass, kwa sasa ndio the powers, kwa hiyo el na wenziwe sasa wako under the brass watch, maana hata muungwana hawezi hii vita inayoendelea sasa na inayokuja...........!
tutaendelea next time, stay tuned..........only kwenye JF I love it where we dare kumkoma nyani mchana kweupeee!
Mkuu Wangu Mpanda Merikebu,
ze dataz ni kwamba,
Mahakamani hataenda mtu, maana wakithubutu serikali nzima itaanguka chini hilo halina ubishi, Muungwana, huenda hana uwezo mkubwa wa kutawala, but, ni mtoto wa mjini mwenye very strong skills za ku-deal na watu, hasa viongozi wenziwe, ni mjanja sana kuliko wananchi wengi tunavyofikiri, siku zote mkuu hufuatilia kwa makini who are the kingmakers, huwa hawaachi mbali hata kama wako upinzani, kwenye hili huwatafuta mwenyewe usiku, unajua the man inapofika usiku anakuwa Invisible na ku-take care mambo yake mengi muhimu kisiasa,
Alipopewa urais, aliambiwa na ccm-brass asimpe el, ila ampe mp, akabisha sana na kuwatishia the brass, alipotimiza nia yake, akaamua kuwalipa the brass, kwa safari nyingi za nje, all paid for, pamoja na maneno mengi ya watu ukweli ni kwamba Richmonduli ilimshitukizia kama sisi wote wananchi wa kawaida, maana yeye alishatamba kwa wananchi kuwa umeme unakuja, akiamini Richmonduli itakuwa the answer, kumbe jamaa wamempandisha mkenge, aliposikia mtu wa kwanza kumkamata alikuwa lm, ambaye alimpa ripooti yote maana lm alikuwa anakusanya tu dataz za kujikinga kwa vile hawakumpa hata senti moja,
muungwana akarudi kwa the brass, na kuwaambia kuwa they were right choice yake ya pm haikuwa nzuri, sasa anahitaji msaada akaambiwa hiyo hiyo Richmonduli ndiyo itakayomuokoa alilie ripoti, hm akakusanya ripoti kabla hajaenda kwa muungwana, akaipitisha kwa brass kwanza, wote wakaipa ok ndio akaambiwa aende nayo kwa muungwana, el alipoambiwa yaliyomo kwenye ripoti akawaomba brass isipelekwe bungeni, akaambiwa too late, akatishia kujiua iwapo itapelekwa, akaambiwa tutakupa kamba ya kujitundika, ripoti ikapelekwa el chali, muungwana akajaribu ku-lobby for tyson kwa brass, akaambiwa choice bado ni ile ile ampe mp,
Everything sasa hivi ccm ni under control ya the brass, hata muungwana mwenyewe sasa hivi anaripoti kwao, mp na mkuchika ndio watu wa the brass, kwa sasa ndio the powers, kwa hiyo el na wenziwe sasa wako under the brass watch, maana hata muungwana hawezi hii vita inayoendelea sasa na inayokuja...........!
tutaendelea next time, stay tuned..........only kwenye JF I love it where we dare kumkoma nyani mchana kweupeee!
Mkuu Wangu Mpanda Merikebu,
ze dataz ni kwamba,
Mahakamani hataenda mtu, maana wakithubutu serikali nzima itaanguka chini hilo halina ubishi, Muungwana, huenda hana uwezo mkubwa wa kutawala, but, ni mtoto wa mjini mwenye very strong skills za ku-deal na watu, hasa viongozi wenziwe, ni mjanja sana kuliko wananchi wengi tunavyofikiri, siku zote mkuu hufuatilia kwa makini who are the kingmakers, huwa hawaachi mbali hata kama wako upinzani, kwenye hili huwatafuta mwenyewe usiku, unajua the man inapofika usiku anakuwa Invisible na ku-take care mambo yake mengi muhimu kisiasa,
Alipopewa urais, aliambiwa na ccm-brass asimpe el, ila ampe mp, akabisha sana na kuwatishia the brass, alipotimiza nia yake, akaamua kuwalipa the brass, kwa safari nyingi za nje, all paid for, pamoja na maneno mengi ya watu ukweli ni kwamba Richmonduli ilimshitukizia kama sisi wote wananchi wa kawaida, maana yeye alishatamba kwa wananchi kuwa umeme unakuja, akiamini Richmonduli itakuwa the answer, kumbe jamaa wamempandisha mkenge, aliposikia mtu wa kwanza kumkamata alikuwa lm, ambaye alimpa ripooti yote maana lm alikuwa anakusanya tu dataz za kujikinga kwa vile hawakumpa hata senti moja,
muungwana akarudi kwa the brass, na kuwaambia kuwa they were right choice yake ya pm haikuwa nzuri, sasa anahitaji msaada akaambiwa hiyo hiyo Richmonduli ndiyo itakayomuokoa alilie ripoti, hm akakusanya ripoti kabla hajaenda kwa muungwana, akaipitisha kwa brass kwanza, wote wakaipa ok ndio akaambiwa aende nayo kwa muungwana, el alipoambiwa yaliyomo kwenye ripoti akawaomba brass isipelekwe bungeni, akaambiwa too late, akatishia kujiua iwapo itapelekwa, akaambiwa tutakupa kamba ya kujitundika, ripoti ikapelekwa el chali, muungwana akajaribu ku-lobby for tyson kwa brass, akaambiwa choice bado ni ile ile ampe mp,
Everything sasa hivi ccm ni under control ya the brass, hata muungwana mwenyewe sasa hivi anaripoti kwao, mp na mkuchika ndio watu wa the brass, kwa sasa ndio the powers, kwa hiyo el na wenziwe sasa wako under the brass watch, maana hata muungwana hawezi hii vita inayoendelea sasa na inayokuja...........!
tutaendelea next time, stay tuned..........only kwenye JF I love it where we dare kumkoma nyani mchana kweupeee!
Muungwana is the BRASS, period.
(I bet you can not name two so-called Brass, and I wonder where do these Brass meet to make such history altering decisions).
Lowassa alikuwa mzigo kwa muungwana, kam-beba sana mpaka imefika wakati ikawa ama aendelee kum-beba na waanguke wote au amtupe ili awe salama, mkuu aka opt the latter!
Mkuu Kiungani,
Ngoja nikupe a shocker mkuu! Uamuzi wa Pinda kuwa pm, 75% umetolewa na Mkapa, wazee wengine walichangia only 25% tu! the brass Walioshiriki ni Kawawa, Mwinyi, Kingunge, Sozigwa, Kinana, Salim, Msuya, na Msekwa, lakini uamuzi wa mwisho ulikuwa ni wa Mkapa! Mkuu watu kama Mzee MMJ, wakizikataa dataz zangu basi najua nilikozitoa zina walakini, maana na wao wanazo source nzito za kuhakikisha ninayosema, lakini sina tatizo kusikiliza logic zako.
Mzee ES, pleeaassee!!!!
EL kutishia 'kujiua'? I have known EL for over 25 years na kusikia/kuona mambo yake mengi sana, na hii ni mpya toka kwako Mzee ES.
Report ya Richmond ilikabidhiwa kwa Speaker na siyo JK. Hii ni report ya Kamati Teule ya Bunge na si Tume ya Raisi. Speaker, as a courtesy, aliwapa copy Ikulu baada ya kuomba na ndiyo copy aliyopata EL kupitia Ikulu. JK hakupewa copy na HM (hao Brass sijui).
Capt. George Mkuchika, army reject, ex-DC Ilala (kanyanyaswa sana na KK/Keenja in the 90's)ambaye kasaidiwa na 'shemeji' kupata u-MP Newala juzi juzi baada ya Akukwetu kufariki, sasa ni 'mtu wa brass' watching over JK na EL!!!!!
Somebody wake me up.
Mazengo Pinda was never, I repeat never, in consideration kwa u-PM at any stage of his political life hadi Jnne usiku last week.
Muungwana is the BRASS, period.
(I bet you can not name two so-called Brass, and I wonder where do these Brass meet to make such history altering decisions).
Sikubaliani ki-siasa na vitu vingine vya EL kama vita vya JSM, Ndejembi, Membe, Kitine, n.k., ila kwa Richmond angeamua ku-fight it out ingempeleka yeye na rafiki zake JK na RA pabaya sana.
Mzee ES, sitaki ku-question credibility yako kwani in JF one believes what one believes.
Hao uliowataja kama 'the brass' nina hakika mmoja wao atashangaa kusikia yanayosemwa hapa (kwani nilikuwa naye juzi tukipata chai na biskuti na alishangazwa kwa uteuzi huu wa PM). But that is Bongo politics.
Mkuu Lowassa, alikuwa mzigo kwa taifa na hasa sisi wananchi, fungua macho mkuu, ripoti inasema lowassa ametuibia wananchi, hakumuibia muungwana, na aliyemtoa lowassa ni sisi wananchi sio muungwana!
Mkuu Kiungani,
Ngoja nikupe a shocker mkuu! Uamuzi wa Pinda kuwa pm, 75% umetolewa na Mkapa, wazee wengine walichangia only 25% tu! the brass Walioshiriki ni Kawawa, Mwinyi, Kingunge, Sozigwa, Kinana, Salim, Msuya, na Msekwa, lakini uamuzi wa mwisho ulikuwa ni wa Mkapa! Mkuu watu kama Mzee MMJ, wakizikataa dataz zangu basi najua nilikozitoa zina walakini, maana na wao wanazo source nzito za kuhakikisha ninayosema, lakini sina tatizo kusikiliza logic zako.
Masatu,
Kama una ukweli uweke mkuu, huo ni ukweli ambao huna bro, sasa kaa pembeni usaidiwe mkuu.
Mtu mzima alijaribu kila njia kuzuia ripoti haikuwezekana, akaishia kujiuzulu, alijaribu mpaka acid haikusaidia mkuu, wananchi wakichoka wewe ni kuondoka tu, mkuu subiri karibuni utaona vikaratasi kwenye media jinsi alivyojitahidi kuizuia ripoti maana wabunge wamechoka wanafikiria kuviweka wazi, mkuu kuna mengi yanakuja, na dataz zaidi, stay tuned......!