EXCLUSIVE: Ridhaa ya Lissu kumkubali Lowassa!

Kama mods hamtojali...acheni wadau wajadili!!!

Kisa cha au ridhaa ya Tundu lissu kukubali lowassa ahamie Chadema na kupeperusha bendera ya urais ni hiki hapa.

Lissu anaamini lowassa hatadumu madarakani zaidi ya miaka mitano...probably kutokana na uzee au ugonjwa!

Hii ina maana Chadema itaingia kwenye Dola kwa kutumia 'nguvu' ya lowassa na baadaye kujiimarisha kwa kumtumia mgombea mwingine wa Chadema!

Lissu anaona ni vyema kuuonja ufalme wa dola hata kama ni too risky!!

Hapa lissu anayameza matapishi kwa mantiki hiyo tu!

Kwa upande wa Dr Slaa nadhani mmeona kuwa ni mla nadhiri kali!lakini pia alitaraji utaratibu flani ufuate ili kupunguza impact ya ujio wa lowassa waliyemuita fisadi mkuu(naomba samahani kama nimemuwekea maneno mdomoni hii ni kadri nilivyoelezwa na kuobserve)

Kwa ufupi hii ni crtical situation kwa Chadema...yaani ni kamari hatari mno.

Tusubiri tuone kama Chadema itatoka salama.

All in All bado naiheshimu na kuitegemea system kutuvusha salama!

Ni mimi Jackbauer !!

cc: Pasco

Tundu Lissu amekuwa na knowledge ya kujua expiry date za binadamu?
 
Dr Slaa amekuonya usimlishe maneno Yericko, lakini bado unafanya ujinga ule ule.
 
nina wasiwasi lisu kadakishwa bunda la fweza. ndo maana kanywea. slaa nadhani ameamua kufa kiume na hili limeenda mpaka kwa kichipukizi chake kimnyika.

Kama mods hamtojali...acheni wadau wajadili!!!

Kisa cha au ridhaa ya Tundu lissu kukubali lowassa ahamie Chadema na kupeperusha bendera ya urais ni hiki hapa.

Lissu anaamini lowassa hatadumu madarakani zaidi ya miaka mitano...probably kutokana na uzee au ugonjwa!

Hii ina maana Chadema itaingia kwenye Dola kwa kutumia 'nguvu' ya lowassa na baadaye kujiimarisha kwa kumtumia mgombea mwingine wa Chadema!

Lissu anaona ni vyema kuuonja ufalme wa dola hata kama ni too risky!!

Hapa lissu anayameza matapishi kwa mantiki hiyo tu!

Kwa upande wa Dr Slaa nadhani mmeona kuwa ni mla nadhiri kali!lakini pia alitaraji utaratibu flani ufuate ili kupunguza impact ya ujio wa lowassa waliyemuita fisadi mkuu(naomba samahani kama nimemuwekea maneno mdomoni hii ni kadri nilivyoelezwa na kuobserve)

Kwa ufupi hii ni crtical situation kwa Chadema...yaani ni kamari hatari mno.

Tusubiri tuone kama Chadema itatoka salama.

All in All bado naiheshimu na kuitegemea system kutuvusha salama!

Ni mimi Jackbauer !!

cc: Pasco
 
hizi thread uchuro,ushinde mawazo yako ya kipepo
 
Back
Top Bottom