EXCLUSIVE: Ridhaa ya Lissu kumkubali Lowassa!

EXCLUSIVE: Ridhaa ya Lissu kumkubali Lowassa!

Kama mods hamtojali...acheni wadau wajadili!!!

Kisa cha au ridhaa ya Tundu lissu kukubali lowassa ahamie Chadema na kupeperusha bendera ya urais ni hiki hapa.

Lissu anaamini lowassa hatadumu madarakani zaidi ya miaka mitano...probably kutokana na uzee au ugonjwa!

Hii ina maana Chadema itaingia kwenye Dola kwa kutumia 'nguvu' ya lowassa na baadaye kujiimarisha kwa kumtumia mgombea mwingine wa Chadema!

Lissu anaona ni vyema kuuonja ufalme wa dola hata kama ni too risky!!

Hapa lissu anayameza matapishi kwa mantiki hiyo tu!

Kwa upande wa Dr Slaa nadhani mmeona kuwa ni mla nadhiri kali!lakini pia alitaraji utaratibu flani ufuate ili kupunguza impact ya ujio wa lowassa waliyemuita fisadi mkuu(naomba samahani kama nimemuwekea maneno mdomoni hii ni kadri nilivyoelezwa na kuobserve)

Kwa ufupi hii ni crtical situation kwa Chadema...yaani ni kamari hatari mno.

Tusubiri tuone kama Chadema itatoka salama.

All in All bado naiheshimu na kuitegemea system kutuvusha salama!

Ni mimi Jackbauer !![/QUOTE

Historia hii inanikumbusha hadithi moja.

Basha anamwambia ------: Nitakukaza,
------: Utanikaza nyuma au mbele?
Basha: Uamuzi ni wangu.
------: Basi fanya haraka.
 
Lisu ana uhakika lowasa atakufa baada ya hiyo miaka 5? Hapo ni ukweli afya yake imedorora sana.
 
Vichwa panzi utawajua tu, mnasoma siasa vitabuni tu, CIVICS...ila SIASA halisia bado sana hamjui... Dr. Slaa and Mbowe kwa taarifa yenu miezi 3 nyuma, walikuwa wanaandaa namna ya kumleta Lowassa Chadema na UKAWA...Mbowe na Dr. Slaa...na hawkaufanya kwa kukurupuka..ni baada ya tafiti kali, walikodisha watafiti toka nje...ikaonekana dhahiri kwa sasa IKIWA LOWASSA ataungana na UKAWA...na akagombea Urais ..basi CCM itakufa kifo cha kupukutika haraka...!!! So nyie someni vitabu bado wadogo sana wa Real politics... waachie Lowassa, Mbowe, Dr. Slaa, Prof. Lipumba, Mbatia, Tundu Lissu...Marando, Prof. Baregu, Prof. Safari hao wanajua Real Politics
 
Mkuu, Lissu mwenyewe aliyesema hayo au ni wewe tu umetunga maneno yako na kuyafanya kuwa ya Lissu? Unaweza kutupatia ushahidi?
 
Kama mods hamtojali...acheni wadau wajadili!!!

Kisa cha au ridhaa ya Tundu lissu kukubali lowassa ahamie Chadema na kupeperusha bendera ya urais ni hiki hapa.

Lissu anaamini lowassa hatadumu madarakani zaidi ya miaka mitano...probably kutokana na uzee au ugonjwa!

Hii ina maana Chadema itaingia kwenye Dola kwa kutumia 'nguvu' ya lowassa na baadaye kujiimarisha kwa kumtumia mgombea mwingine wa Chadema!

Lissu anaona ni vyema kuuonja ufalme wa dola hata kama ni too risky!!

Hapa lissu anayameza matapishi kwa mantiki hiyo tu!

Kwa upande wa Dr Slaa nadhani mmeona kuwa ni mla nadhiri kali!lakini pia alitaraji utaratibu flani ufuate ili kupunguza impact ya ujio wa lowassa waliyemuita fisadi mkuu(naomba samahani kama nimemuwekea maneno mdomoni hii ni kadri nilivyoelezwa na kuobserve)

Kwa ufupi hii ni crtical situation kwa Chadema...yaani ni kamari hatari mno.

Tusubiri tuone kama Chadema itatoka salama.

All in All bado naiheshimu na kuitegemea system kutuvusha salama!

Ni mimi Jackbauer !!

cc: Pasco

mkuu hiyo speculation yako kwamba hatadumu iondoe. Kumbuka kwamba kama hatadumu basi Urais utahamia CUF! Hii ni kwa sababu nasikia tetesi kwamba ili kuimarisha UKAWA itabidi mwanachama mmoja wa CUF ajivike u CHADEMA na kuuvua u CUF ili aweze kuwa mgombea mwenza ambaye kama UKAWA itashinda basi atakuwa makamo wa Rais. Kwa hiyo huyu mgombea mwenza atakuwa CHADEMA kimwili ila kiroho ni CUF, basi lolote likitokea huyu ambaye kimwili yupo CHADEMA na kiroho yupo CUF atanufaika kwani atakuwa Rais kwa mujibu wa katiba. Nadhani Lissu analijua hilo hivyo hawatakuwa na nafasi ya kujiimarisha kwa kuwa utawala utahamia CUF.
 
Ni Kweli Chadema wamewasaliti wana CCM, ha ha haaa...!
 
Mkuu, Lissu mwenyewe aliyesema hayo au ni wewe tu umetunga maneno yako na kuyafanya kuwa ya Lissu? Unaweza kutupatia ushahidi?

Mkuu hii ni kwa mujibu wa Ka-nzi !

Kama unavyojua Ka-nzi huwa kanakufa ndani ya siku saba hivyo kukaamini au kutokukaamini ni juu yetu!
 
Hivi CCM wangemsimamisha Lowasa,Chadema wangemsimamisha nani?kwa kweli siamini kwamba Chadema ilikuwa inasubiria mtu achujwe CCM,ili awe mgombea wao,hii ni aibu kwa chama kikubwa kama chadema
 
Daah mkuu acha kuongea hayo yamepita tuangalie mbele kinachotakiwa ni magogoni tu au viti vingi vya ubunge
 
Back
Top Bottom