EXCLUSIVE: Ridhaa ya Lissu kumkubali Lowassa!

Jackbauer

JF-Expert Member
Joined
Oct 28, 2010
Posts
6,068
Reaction score
2,225
Kama mods hamtojali...acheni wadau wajadili!!!

Kisa cha au ridhaa ya Tundu lissu kukubali lowassa ahamie Chadema na kupeperusha bendera ya urais ni hiki hapa.

Lissu anaamini lowassa hatadumu madarakani zaidi ya miaka mitano...probably kutokana na uzee au ugonjwa!

Hii ina maana Chadema itaingia kwenye Dola kwa kutumia 'nguvu' ya lowassa na baadaye kujiimarisha kwa kumtumia mgombea mwingine wa Chadema!

Lissu anaona ni vyema kuuonja ufalme wa dola hata kama ni too risky!!

Hapa lissu anayameza matapishi kwa mantiki hiyo tu!

Kwa upande wa Dr Slaa nadhani mmeona kuwa ni mla nadhiri kali!lakini pia alitaraji utaratibu flani ufuate ili kupunguza impact ya ujio wa lowassa waliyemuita fisadi mkuu(naomba samahani kama nimemuwekea maneno mdomoni hii ni kadri nilivyoelezwa na kuobserve)

Kwa ufupi hii ni crtical situation kwa Chadema...yaani ni kamari hatari mno.

Tusubiri tuone kama Chadema itatoka salama.

All in All bado naiheshimu na kuitegemea system kutuvusha salama!

Ni mimi Jackbauer !!

cc: Pasco
 
Last edited by a moderator:
all in all ccm have to go.Hili dudu ccm limetutesa miaka mingi
 
usikwepeshe ukweli lissu kapewa mpunga na kuu la mafisadi

Kama haya yanayosemwa kuhusu Mzee Slaa ni kweli kwamba mkewe ni chanzo basi inabidi amtathmini upya mrembo wake...
 
usikwepeshe ukweli lissu kapewa mpunga na kuu la mafisadi

Hilo la mlungula siwezi kulielezea ...nimeleta kadri nilivyopata!

mlungula unaweza kuwa ulitembea lakini ninachowasilisha ni 'logic' ya Lissu
 
Na nyie humu mmeahidiwa nini maana najua hamjapewa dolali,au bundle tu za kuwawezesha muwepo humu.
 
Hekaya za uongo zote hizi,jukwaa limekuwa la wapiga ramli
 
Bottom line majamaa wamepewa hela.Hizo reasons nyingine bwembwe
 
CHADEMA Wametusaliti na Wataishia Mwisho Mbaya Sana. Dr Slaa namshauri Apumzike na Siasa Kutunza Heshima Aliyojijengea Katika Taifa Hili.
 
Kama mods hamtojali...acheni wadau wajadili!!!

Kisa cha au ridhaa ya Tundu lissu kukubali lowassa ahamie Chadema na kupeperusha bendera ya urais ni hiki hapa.

Lissu anaamini lowassa hatadumu madarakani zaidi ya miaka mitano...probably kutokana na uzee au ugonjwa!

Hii ina maana Chadema itaingia kwenye Dola kwa kutumia 'nguvu' ya lowassa na baadaye kujiimarisha kwa kumtumia mgombea mwingine wa Chadema!

Lissu anaona ni vyema kuuonja ufalme wa dola hata kama ni too risky!!

Hapa lissu anayameza matapishi kwa mantiki hiyo tu!

Kwa upande wa Dr Slaa nadhani mmeona kuwa ni mla nadhiri kali!lakini pia alitaraji utaratibu flani ufuate ili kupunguza impact ya ujio wa lowassa waliyemuita fisadi mkuu(naomba samahani kama nimemuwekea maneno mdomoni hii ni kadri nilivyoelezwa na kuobserve)

Kwa ufupi hii ni crtical situation kwa Chadema...yaani ni kamari hatari mno.

Tusubiri tuone kama Chadema itatoka salama.

All in All bado naiheshimu na kuitegemea system kutuvusha salama!

Ni mimi Jackbauer !!

Riwaya yako imekosa mvuto.
jipange ... mbinu ya ubunilizi haiko sawa...
 
Back
Top Bottom