Ingawa sikuwa na bahati ya kumsikiliza, ni muhimu tukumbuke kuwa Cheyo alikumbana na mkasa wa kunyang'anywa nyumba yake kutokana na mkopo fulani hadi alipodhaminiwa na CCM; hivyo ni lazima aiheshimu na kuitunza CCM hata kama yuko UDP. Je , mlisikia hotuba yake aliyotoa kule Bariadi siku Kikwete alipotembelea wilaya ile?