Mohammed Hamad
JF-Expert Member
- Jan 17, 2011
- 3,988
- 1,308
Hili namjibia:
Kwa sababu:
Wafanya kazi wa Kitanzania wengi ni wavivu, wezi, waongo, hawaishi kufiwa na kuomba ruksa za kwenda kuzika, hawau=ishi kuumwa, hawaishi kuwa na kila sababu za kutokuhudhuria kazini. Watu wa India wanajuwa dhiki ya maisha na vipi kupata kazi ni kugumu na wao huchapa kazi na hawana visingizio kama Watanzania.
Inapaswa Watanzania wanaotaka maendeleo ya haraka wabadilike.
Hili namjibia:
Kwa sababu:
Wafanya kazi wa Kitanzania wengi ni wavivu, wezi, waongo, hawaishi kufiwa na kuomba ruksa za kwenda kuzika, hawau=ishi kuumwa, hawaishi kuwa na kila sababu za kutokuhudhuria kazini. Watu wa India wanajuwa dhiki ya maisha na vipi kupata kazi ni kugumu na wao huchapa kazi na hawana visingizio kama Watanzania.
Inapaswa Watanzania wanaotaka maendeleo ya haraka wabadilike.
To shorten the answer we Tanzanians either with asian origin or 100% matumbi breeds we don't have working culture including Mo who was born in Singida IMO.
Hili namjibia:
Kwa sababu:
Wafanya kazi wa Kitanzania wengi ni wavivu, wezi, waongo, hawaishi kufiwa na kuomba ruksa za kwenda kuzika, hawaishi kuumwa, hawaishi kuwa na kila sababu za kutokuhudhuria kazini. Watu wa India wanajuwa dhiki ya maisha na vipi kupata kazi ni kugumu na wao huchapa kazi na hawana visingizio kama Watanzania.
Inapaswa Watanzania wanaotaka maendeleo ya haraka wabadilike.
Oops, nilisahau:
Hawaishi kukopa (kujichotea) makazini, hata iwe ni viongozi wa vyama vya siasa.
Swali la 1:
Kwanini anatoa misaada sana ya kijamii jimboni Sindida halafu anahusishwa na ufisadi chini ya kivuli cha kampuni yake ya Mohamed Enterprises kwa kununua kiwanja cha iliyokuwa GAPEX hapo nyerere RD kwa bei poa? Je, anatumia misaada hiyo kama kinga asibughuziwe na vyama husika?
SWALI 2:
YEYE na wenzie kama RAGE enzi za Nyerere walikuwa wanaomba uongozi walikuwa wanafukuzwa; Je, BAADA ya baba wa taifa kufariki kwanini wameingia chama cha CCM?
Ni vema akaulizwa swali hilo lakini Mo ni member wa JF - Ref: View Profile: Mohammed Dewji - JamiiForums | The Home of Great Thinkers
Mkuu kumbe yupo humu?
JF is more than you know it!
Ni kipindi cha mkapa, Rage, Abood, Dewji, Manji, walikuwa hawakatizi NEC, anaejua atujuze zaidi ila pia dada Fina tuulizie what hapened and what is hapening now. sababu zilizofanya wasipitishwe na chama kugombea ubunge japo walishinda kura za maoni, and him in particular.
Mkuu zomba hili swali nimelielekeza kwa Mohammed Dewji inawezekana hizo sababu zipo lakini si kwa waTanzania wote nadhani hata wewe utakubaliana na mimi.
Nafarijika Mohammed Shossi amekupa like kubwa lakini kasahau juzi alikuja na bandiko lake kwamba wakati wa zoezi la kitambulisho cha uraia alinyanyaswa kwasababu ya rangi yake leo anafurahia waTanzania weusi wanavyonyayaswa na Mohammed Dewji wametengewa vyoo vichafuu, michango yao ya NSSF haipelekwi, mishahara ya waTanzania weusi ni chini sana huku wahindi wenzao wahindi wakilipwa mishahara mara tano hadi kumi zaidi.
Yafaa Mohammed Dewji anapowaomba kura wananchi wa Singida awaambie ajira zake ni za kibaguzi na ataoa sababu hizi hizi alizotoa Zomba.