Makutano Show
Member
- Aug 3, 2012
- 21
- 65
Hili namjibia:
Kwa sababu:
Wafanya kazi wa Kitanzania wengi ni wavivu, wezi, waongo, hawaishi kufiwa na kuomba ruksa za kwenda kuzika, hawaishi kuumwa, hawaishi kuwa na kila sababu za kutokuhudhuria kazini. Watu wa India wanajuwa dhiki ya maisha na vipi kupata kazi ni kugumu na wao huchapa kazi na hawana visingizio kama Watanzania.
Inapaswa Watanzania wanaotaka maendeleo ya haraka wabadilike.
Oops, nilisahau:
Hawaishi kukopa (kujichotea) makazini, hata iwe ni viongozi wa vyama vya siasa.
Alishaanzisha African Leone ila imemshinda...!!Kwakuwa ni mkereketwa wa michezo ni kwanini asianzise team chini ya kampuni yake or yeye binafsi ya mpira kama ilivyofanya Bakhresa na Azam FC?