Katika umri mdogo tu wa miaka isiyozidi 23 tayari ana X husband! Kaachika?!
Mzee Mzindakaya ametangaza kustaafu Ubunge kule kwao. Binti anaweza kumrithi babaye. Hatutashangaa. Wazee wengi wa CCM ndio wako kwenye mchakato huo.
Mzee Mzindakaya ametangaza kustaafu Ubunge kule kwao. Binti anaweza kumrithi babaye. Hatutashangaa. Wazee wengi wa CCM ndio wako kwenye mchakato huo.
.........Hakuna ubaya wowote kwa sista V kupata ubunge jimboni kwa baba yake, kinachotakiwa ni sifa za yeye kuwa mbunge.Kama sifa anazo atachukua tu jimbo, watanzania hebu tuache hii tabia mtu kuwa mtoto wa kiongozi isiwe sababu ya yeye kukosa uongozi kama anastahili.
Kama hauweza kuhimili NDOA yako ya KWANZA ni vigumu mno kuhimili UONGOZI wowote ule. Utaendelea kuwa KIONGOZI kwa ajili ya pesa zako tu. Kwa TZ ya sasa hata yeye anaweza kuwa Mbunge.........Kwanza sio umri wake huo umekosea, na vile vile kuachika sio ajabu huwezi jua sababu aliyoamua kuachana na Edward. Na vile vile sista V sio mwanamke wa kwanza kuachana na mwanaume.
kama hauweza kuhimili ndoa yako ya kwanza ni vigumu mno kuhimili uongozi wowote ule. Utaendelea kuwa kiongozi kwa ajili ya pesa zako tu. Kwa tz ya sasa hata yeye anaweza kuwa mbunge.
Sawa bana, yaani ktk jimbo zima la uchaguzi wanaofanya kuongoza wapo ktk familia moja tu? Wengine wote wanaqualify kuongozwa? Akitoka baba anakuja mtoto,then mjukuu, then kitukuu. Wengine wote hawana uwezo wa kuongoza,wao tu ndio wanaoweza.