nimeenda mbio ee nilianza form 3 bt kwakuwa mama yangu tulikuwa tunamuita kamanda yaani alikuwa mkali kupita kiasi so niliogopa ngono kama jehanam hata kunikiss sikumruhusu aliheshim hilo
nimeenda mbio ee nilianza form 3 bt kwakuwa mama yangu tulikuwa tunamuita kamanda yaani alikuwa mkali kupita kiasi so niliogopa ngono kama jehanam hata kunikiss sikumruhusu aliheshim hilo
ha ha ha ha! kwa hiyo alikuwa akitaka kiss unakimbia ama? afu mlikutanaje kwani?
Umenkumbusha mbali....
inamaana na wewe ilikuwa hivyo? mi nataka kwa sasa tubase kidogo kwenye mahusiano yenu ya awali,
niambie basi mahusiano ambayo siyo serious ndiyo yapi?
Sikimbii nilikuwa nanuna hadi anachukia ananiambia niondoke it was fun nilikutana nae mahali huko kilimanjaro tukapendana hata sijui ilijuwaje sipendi kuiweka hapa asije akanishtukia maana sina uhakika kma nae yupo hapa
Dhana niliyokuwa nayo hapo mwanzoni ni kuwa rafiki yangu wa kike ni girl friend...na wa kiume ni boy friend...
Kwa hiyo ilikuwa boy akiniaproach kuwa anataka niwe gf wake namkubalia kwa maana ya kwamba ni rafiki yangu wa kawaida tu wa kiume.
Sasa kumbe mie nilikuwa mashokolo mageni kwa hiyo baada ya kukubali unakuta jamaa wanaanza moves kama za kukiss na kugusa hovyo...
Mie ilikuwa jamaa akijaribu tu kunigusa au kunikiss namtwanga kibuti...
Kwa hyo kwangu mie hizi hazikuwa serious relation.
teh teh! means bado uko nae? kuna sehemu hapo juu unanyesha kama upo kwenye new relationship.
Sipo nae tena mda sana ila nikieleza ilivokuwa aweza jishtukia na akanitambua wangu wasasa tu ndo naweza kumwambia ilikuwaje kama atapenda kujua
Nambe! ulikuwa unamkubali kama boyfriend tu wakawaida ila nadhani ni zaidi ya hapo..
au kibuti hata marafiki wa kawaida wanaweza kutwangana? jibu hapo...afu tujumpie kwingine
kwahiyo huyo ndio wa kwanza kabisa? sema kamanda (mama yako) ulimwogopa sana so hamkufanya nae chochote?
Nilikuwa na kama idea ya kuwa mnakuwa best friends hivi kwa hiyo akiniletea hizi tabia ambazo zinakinzana na misimamo yangu nakaa mbali nae...
Yeah hata rafiki wa kawaida alikuwa akiniletea ujinga sioni tabu kumchenjia na kukaa mbali nae haswa.......
Yap ndo wakwanza ila baada niliona ujinga nikawa nampa kiss but sio ya kujiachia ya uchoyo sana.kwenye shav inatosha.kulikuwa na wengine bt kama nambe mnaishi kama kaka na dada nothing serious
mmh..basi ulikuwa mkali, niambie sasa! what is serious relation as u stated earlier
niambie sasa! we ile ya serious uliianza lini, na ulianzaje mpaka ukajiona now i'm in serious relationship! tell me some indicators please
Ndio hii niliyokuja kuianza na huyu jamaa...nkiwa kidato cha 3.
Nilimpenda kweli na angalau nilikuwa free nae japo kishule shule...
Na huyu bwana tulikuwa angalau tunakiss....
Ila tulikuwa makini mno kwa sababu kipindi hicho mimi nilikuwa kiongozi wa serikali ya wanafunzi na pia kiongozi wa dini...
Yeye pia alikuwa kiongozi wa dini....so wote tulikuwa tunaogopa kuharibu reputations zetu
heeeh! ulikuwa unasoma boarding ama day?
Serious ni hii nilonayo sasa naamini hiyo japo bado siishi nae but he loves me and i believe him.nilianzaje nae sitakwambia pia ila alinitongoza kama wengine wanavyotongozwa nikampa nafasi hiyio