Mbona mambo ya Mdee yanajadiriwa sana humu ndani kuliko wenzake wa kike,ama Mdee ndo case study?mnavyozidi kumuongea humu ndani mnamzidishia stress,tumwache atafute mwenyewe na mahusiano ni suala bnafsi sana (intimate affair)
I just like the lady na jinsi anavyojiamini. Ni kati ya wanawake wachache TZ wenye upeo. Haya ni baadhi ya majadiliano kati yake na Dina Marios.
[/B]
well done Halima, wadada wengine wanaolewa tu eti nao wawe kwenye ndoa, loh mie nimeolewa na najuta kwa sasa! ndoa ni kifungo caha maisha! uwezi kufanya jambo bili kumshirikisha mwenzio, hata kiatu siwezi kununu mwenyewe, mara unatumia pesa, mara hapana, better off without a man, men arent everything dear! so big up halima mpaka umpate umpandae kwa moyo wote and not easY
Hivi hiyo power ya Halima ambayo wewe unaiona kubwa sana ni ipi. Hata kama tukiamua kutumia mtazamo wa jumla wa jamii yetu kuwa ni vyema mwanamke akawa chini ya mwanaume bado utaona kuwa kuna wanaume wengi sana wanaomzidi Halima "power". Halafu halima mbona ni wa kawaida sana,..........Huyu hajaingia anga zangu tu lakini mimi nikikaa naye dk 30 tu lazima kieleweke.Tatizo bongo mwanamke akiwa kasoma sana halafu ana position kubwa kama ya Halima wanaume wengi wanakula kona, hii yote ni kwa sababu wanaogopa mikiki ya wanawake wasomi. Uamuzi wa Mh.Halima wa kutafuta mtoto bila kuolewa nauunga mkono manake ndoa zenyewe za siku hizi ni manyanyaso. Bora azae then awalee wanae, kila la kheri Mh. Halima.
Kupata mwenza bora wa maisha ni shughuli sana, hasa unapokuwa mwanamke mwenye power.
Punguza hasira mkuu........Hebu jaribu kumsoma tena nadhani utaielewa vizuri tu pointi yake.Hata Dina Marios ni kati ya wanawake wachache TZ wenye upeo ndiyo mana kamhoji.
Habari ya kusema watu wapo kwenye ndoa ni wezi wakati yeye anataka kuzaa ovyo huo ni uasherati zaidi.
Hivi hiyo power ya Halima ambayo wewe unaiona kubwa sana ni ipi. Hata kama tukiamua kutumia mtazamo wa jumla wa jamii yetu kuwa ni vyema mwanamke akawa chini ya mwanaume bado utaona kuwa kuna wanaume wengi sana wanaomzidi Halima "power". Halafu halima mbona ni wa kawaida sana,..........Huyu hajaingia anga zangu tu lakini mimi nikikaa naye dk 30 tu lazima kieleweke.
Niharibu mjadala kivipi??!! Halima ni MP na anajiamini, hilo nalikubali lakini pia (ngoja niwaazime waingereza kdogo hapa) Halima has that feminine attitude that makes her so sexy and approachable. Nasisitiza ni vile tu hajaingia kwenye anga zangu vinginevyo dk 30 zinatosha sana.(Sina maana ya kwamba baada ya dk 30 tunakwenda kwenye yale mambo yaleeeee, ila nina maana kwamba huo mda unatosha sana kuamsha interest yake kwangu). Nadhani umenisoma sasa.[/COLOR]taratibu kaka na comments zako, angalia usitibue mjadala. Of coz Halima ana power, she is only 32 na tayari ni MP kwa temu ya pili. Pili anajiamini sana, kwa mwanaume lege lege wa kibongo lazima ule kona.
Acha uvivu fungua website ya bunge utaipata, ila ushaonyesha hunasifa za kumtwa mbunge wangunaomba namba yake ya simu
Kwahiyo mpaka atangaze redioni????Huko bungeni ameshindwa kumkamata mmoja!:israel:
dah,ananizidi umri mbali sana,ningejitosa
Hiyo nyekundu ni bull's crap.........Uhuru una mipaka, no one can do whatever they want.she'z confident! She can do whatever she wants to do! Ol the best halima!