Exclusive:Chaggas only

Mleta picha yaani ulivyonitamanisha!!!!! Wkiendi hii lazima nitie timu Kwa-Maangulwa nikabugie wari kwenye shori.Shori kwa lahaja ya kichaga cha rombo-mkuu maanayake ni kata ya kunywea pombe ambapo kwa lahaja ya vunjo ni kipata.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…