nna nokia E71 na nokia 6730 clasic... Zote nimezitumia ila zinaperform kama kawa... hazina utaata,. Labda hiyo 6730 ile plastic ya juu ya kioo ina crack pembeni ila kioo kipo safe n sound...... Ntieni hata curve8520 moja niwabwagie hizo kitu zote mbili pipoo
Nliku''pm'' juzijuzi tu hapo.. Nkakwambia nkupe 80 elfu.. Then likaja suala la umbali kaka wewe uko mwnz mimi kwa sasa niko dar.. Issue ikawa kwenye makabidhiano..
ngosha... i suggested for the safety of ur phone na mimi for my money... Kama kuna mtu unaemuamini anakuja huku dar umpe simu na mawasiliano yangu ntakuachia.. akifika namtia mapene naye ananipa simu... Then done deal... Otherwise sijui itakuaje... Ila by next week ill be in singida