sergio 5
JF-Expert Member
- May 22, 2017
- 9,735
- 11,128
Poa poa MkuuNo mkuu sina hobby na mpira kuna ndg yangu yuko huko alinipa sasa naoba sikitendei haki
Poa poa MkuuNo mkuu sina hobby na mpira kuna ndg yangu yuko huko alinipa sasa naoba sikitendei haki
Kina channels gani za maana??Aaa wapi utapewa Bomba/Access mkuu.
Kifurush cha 18000 azam kina chanel ngap ukilinganisha na 19000 kwa dstv? Na istoshe azam wanaponiboa ni mambo yao ya kurudia rudia movie yaan kwa kifup azam hana lolote may be vplZa maana ndio zipi labda?
I'm waiting!Hata sijui ni explorer or not! Let me check