Sasa kama samsung huzikubali ulinunua ya nini?, si ungenunua simu unayoikubali?Mimi natumia s6edge + imetumika wiki 2 sasa na haina tatizo lolote.... Nahitaj kutumia iPhone kwa vile Samsung huwa sizikubali Sana Kama iPhone mwenye nayo na yenye sifa tajwa hapo juu tuwasiliane kufanya biashara
nakupa 6.5k cash mkuu.....nifikirieMimi natumia s6edge + imetumika wiki 2 sasa na haina tatizo lolote.... Nahitaj kutumia iPhone kwa vile Samsung huwa sizikubali Sana Kama iPhone mwenye nayo na yenye sifa tajwa hapo juu tuwasiliane kufanya biashara