Excellent Again

Viol

JF-Expert Member
Dec 15, 2009
25,432
18,126
Watu waliokuwa kwenye msiba walimshangaa mama aliyefiwa na mmewe,wakamwuliza,mama mbona we humlilii mme wako,watu wanalia we macho makavu sana,mama akawajibu....nye acheni tu,nikiaanza kulia hapatakalika hapa,wakamwambia basi we lia kidogo kuonyesha unaombeleza.Mama akaanza kulia '''uwwwwiiiiiii mme wangu,umeniacha,nakumbuka jinsi ulivyokuwa unanifikisha tukiwa kwenye game,unanifanya kila style mpaka naridhika,hakuna mwanaume anayeweza kunitosheleza zaidi yako,....uwwiiiiiiii,jamaniiiii.sasa nani atanipa tena utamu,nani ataninyonya,uwwwiiiiii'''''watu wa kwenye msimba wakaanza kulalamika.........''ahaaaaa we mama mambo gani ya kutiana ny*ge kwenye msiba''!
 

Viol

JF-Expert Member
Dec 15, 2009
25,432
18,126
Mwanajeshi akiwa kwenye vita aliwateka adui zake watatu,wote walikuwa wanawake,wasichana wawili na mbibi,mwanajeshi akawaambia,sasa punishment yenu nafanya mapenzi na nye wote....wale wasichana wawili wakamwambia tunaomba basi usifanye na bibi yetu,bibi akadakia akisema...adhabu ni kwa wote adui ni adui hata awe bibi.
 

Viol

JF-Expert Member
Dec 15, 2009
25,432
18,126
Majambazi wenye silaha kali waliteka bus la abiria.Baada ya kupora mali kadhaa,waliwalazimisha watu waingiliane kinyume na maumbile.Abiria walianza kuwaomba majambazi wawasamehe kwa kusema"vijana wetu mali tumewaachia mchukue,basi nendeni,kitendo mnachotaka ni kibaya,kuna maradhi siku hizi,tusameheni vijana wetu."
Ghafla abiria wawili walioukua siti za nyuma kabisa wakasema"adhabu hiyohiyo kaka jambazi"...mwingine akasisitizia"washasema washasema"
Kumbe walikua ni mashoga...
 

Viol

JF-Expert Member
Dec 15, 2009
25,432
18,126
Dada alijitoa katika foleni ya Benk na kumfuata askari kumuuliza
DADA:Samahani afande,unaweza kunisaidia kutoa kitu kwenye makalio yangu??kinanikera sana.
Kwa haraka sana afande akajivuta chemba na kuweka bunduki chini,kisha akamwambia dada
AFANDE:Njoo kwa huku.Kwani ni kitu gani hicho kinakukera?
DADA:Ni hayo macho yako.Unanikosesha amani unavyonikodolea macho matakoni.
 

Viol

JF-Expert Member
Dec 15, 2009
25,432
18,126
sauti ilisikika kichakan ikiomba msaada''nisaidien nakufaa''gafla lilitokea bonge ya baunsa kichakan huku likihema na boxa mkonon likasema''dah japo wamenigonga lakin kwa mbinde.
 

Viol

JF-Expert Member
Dec 15, 2009
25,432
18,126
Baada ya kusababisha ajali mbaya iliyoua watu 19 waliokua wamesimama kituo cha daladala na kujeruhi kadhaa,Askari wa usalama rodini alimuuliza dereva.
ASKARI:Unavutaga bangi?
DEREVA:Toka jana sijavuta kabisa
ASKARI:Kama breki zilifeli,kwa nini ulilenga kwenye watu wengi?upande wa pili kulikua na nini?
DEREVA:Kulikua na mtu mmoja anataka kuvuka
ASKARI:Kwa nini usingemgonga huyo mmoja?ukawagonga wengi?
DEREVA:Kweli nilishaamua kumgonga huyo m1,lakini ghafla aliruka barabara na kujiunga na waliokua kituoni
 

Viol

JF-Expert Member
Dec 15, 2009
25,432
18,126
Mwanamke alinunua line mpya ya voda ili ampime mumewe.Wakiwa wameketi sebuleni,mwanamke alienda jikoni na kumpigia mumewe,huku amebadilisha sauti.Jamaa akapokea simu"Hallow"
WIFE:Hallo darling wangu naona siku hizi umenisusa
JAMAA:pliz,Kata nitakupigia
Ghafla jamaa akatoka nje kibarazani,na kumpigia darling nae akapokea
WIFE: Hey swity,mbona umeniambia nikate simu?uko wapi?
JAMAA:Niko home.Lile ling'ombe lilikua jikoni, lingenikuta naongea na wewe ingekua noma.
 

Erickb52

JF-Expert Member
Oct 31, 2010
18,528
11,378
Duh kweli jina ulilojipa linastahili......
Hapa nimekaa mahali nacheka hadharani mwenyewe
big up
 

Leonard Robert

JF-Expert Member
Apr 22, 2011
10,611
6,274
sauti ilisikika kichakan ikiomba msaada''nisaidien nakufaa''gafla lilitokea bonge ya baunsa kichakan huku likihema na boxa mkonon likasema''dah japo wamenigonga lakin kwa mbinde.

utaniua kwa kicheko kaka ha ha ha ha nimecheka hadi mado zangu wanashangaa da! Sikuwez mkuu.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

6 Reactions
Reply
Top Bottom