Excell 2003

Zedikaya

Senior Member
Joined
Aug 10, 2011
Posts
119
Reaction score
14
Habari wakuu,
tafadhali naomba msaada wa namna ya kupanga matokeo ili mwanafunzi wa kwanza aanze namba moja hadi wa mwisho kwa wingi wa alama zao,wako wanafunzi 302,
hapa nshaandika majina yao,
alama zao kwa masomo 11,jumla ya alama,
wastan,nafasi (position/rank)
sasa nahitaji yajipange kuanzia mwanafunzi aliyekuwa wa kwanza aanze namba moja nakuendelea,nnatumia excel 2003,
natanguliza shukran wakuu.
 
duuu!!! nawe ni mwalimu unashindwa kutumia excell afu tunaponda wanafunzi wetu wanashindwa kutumia computer duu kazi kweli kweli!!!! ikija hiyo komputa kuwafundisha wanafunzi utafanyaje?
 
kama nimekulewa ni kazi rahisi saana, tafuta sehemu iko upande wa kushoto imeandikwa sort A-Z au Z-A,
cha kufanya select column yenye alama zao kisha sort Z-A
 
Kama Zedikaya hujajibiwa, Tafadhali panga matokeo yako, Column mbili ya jina na marks. halafu Katika excel chagua data....sort...A to Z hapo uataona majina yanajipanga alphabetically. Kama unahitaji marks ya juu ianze sort pale pale na uchague .....sort by value not name......sort on value....and then order: largest to smallest. Simple try on excel
 
duuu!!! nawe ni mwalimu unashindwa kutumia excell afu tunaponda wanafunzi wetu wanashindwa kutumia computer duu kazi kweli kweli!!!! ikija hiyo komputa kuwafundisha wanafunzi utafanyaje?

Acha umbulula ww. Inamana dr huwa halazwi hospitalini na kujifanyia operation mwenyewe?
 

Pia asisahau ku- highlight/ select sheet yake.
 
duuu!!! nawe ni mwalimu unashindwa kutumia excell afu tunaponda wanafunzi wetu wanashindwa kutumia computer duu kazi kweli kweli!!!! ikija hiyo komputa kuwafundisha wanafunzi utafanyaje?

acha ujinga wewe, nlikuwa na bosi wangu ni phd holder na hajui chochote kwenye excel sembuse mwalimu, labda kwa mfano wewe unajua nini kwenye excel
 


ukishindwa kabisa jaribu kugoogle utapata majawabu mazuri sana ie how to sort data in excell 2003 youtube.
 
Pole sana nyie mnaomsakama huyu jamaa ndo wajinga zaidi. hata wewe unaemwandama hujui kila jambo so keep kimya tumsaidie.
kwa kupanga tu tumia sort either asending or decending anbaayo ipo A-Z or Z-A
BUT KAMA UNATAKA KUPANGA MATOKEO YULE MWENYE MAKS ZA JUU APATE a na wa zero apate F
hwa tunatumia logical function kwa mfano
80-100 =A, 60-79 =B, 45-59=C, 30-44 =D, na below =F
tumia formula hii kwenye column ya average. kama ni ngumu copy na upaste. Kwa mano kama average yako ipo kwenye column J2
=IF(J2>=80,"A",IF(J2>=60,"B",IF(J2>=45,"C",IF(J2>=30,"C",IF(J2<30,"F"))))) ukimaliza press enter itakupa jibu na fanya kwa kila mwanafunzi but kama unajua ku increment formula fanya hivyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…