Excel kupanga matokeo, divisions na points

Hill tatizo baada ya kukopy formula kwenye celi zingine linasababishwa na mini jamani

 
Nimefanikiwa mkuu ahsanteh sana!!
 

Vipi kama ana F katika Maths anapigwa penati ya kwenda Div III
 
Umetumia nguvu nyingi. Kama ungetumia IF function, the job could have been done within a minute
 
Dah sijui nikulipe nini kwa elimu hii aisee, mungu akubariki sana. Akuongezee na akulinde

sent by mwenyewe
 
kazi nzuri sana, nimekuelewa sana. Vipi kale kautaratibu ka zamani ka penalty, tunaweza kufanya vipi?
Namimi nlikuwa naswali kama wewe umeniwahi mkuu, kama baadhi ya masomo ni compulsary kama mathematics ambayo ufaulu au ufeli they have to be counted inakuwaje

sent by mwenyewe
 
Mimi pia ningependa kujua utaratibu wa penalty unafanyikaje kwa kutumia formula.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…