EXAMINATIONS OFFICER II - 2 POST at Tengeru Institute of Community Development (TICD)

Jamii Opportunities

JF-Expert Member
Feb 10, 2014
4,449
1,393
POST: EXAMINATIONS OFFICER II – 2 POST

EMPLOYER: Tengeru Institute of Community Development (TICD)

APPLICATION TIMELINE: 2022-06-11 2022-06-24

JOB SUMMARY N/A

DUTIES AND RESPONSIBILITIES
i. To administer and supervise examinations according to examination regulations of the Institute;
ii. To make sure that examinations timetable is prepared and adhered to by all parties;
iii. To keep all examinations documents in good and safe condition;
iv. To make sure examinations are conducted effectively and efficiently;
v. To deal with all problems related to examination matters;
vi. To report to the proper authority any examination irregularity;
vii. To keep proper records of examinations and course work result; and
viii. To carry out any other duties as may be assigned by his/her Supervisor.

QUALIFICATION AND EXPERIENCE
Holder of Bachelor Degree in one of the following fields; Statistics, Public Administration, Education, Education Management or equivalent related qualification plus ICT skills from a recognized Institution.

REMUNERATION PGSS 6/1

The deadline for submitting the application is 24 June 2022.

CLICK HERE TO APPLY
 
Nisaidieni namna ya kuweka passport size kwenye profile portal yangu ya utumishi, nikiweka inaload tu bila mafanikio.
 
POST: EXAMINATIONS OFFICER II – 2 POST

EMPLOYER: Tengeru Institute of Community Development (TICD)

APPLICATION TIMELINE: 2022-06-11 2022-06-24

JOB SUMMARY N/A

DUTIES AND RESPONSIBILITIES
i. To administer and supervise examinations according to examination regulations of the Institute;
ii. To make sure that examinations timetable is prepared and adhered to by all parties;
iii. To keep all examinations documents in good and safe condition;
iv. To make sure examinations are conducted effectively and efficiently;
v. To deal with all problems related to examination matters;
vi. To report to the proper authority any examination irregularity;
vii. To keep proper records of examinations and course work result; and
viii. To carry out any other duties as may be assigned by his/her Supervisor.

QUALIFICATION AND EXPERIENCE
Holder of Bachelor Degree in one of the following fields; Statistics, Public Administration, Education, Education Management or equivalent related qualification plus ICT skills from a recognized Institution.

REMUNERATION PGSS 6/1

The deadline for submitting the application is 24 June 2022.

CLICK HERE TO APPLY
Wewe ni mzalendo sana hapa Jf. Umerahisishia sana watu, washindwe wenyewe !
 
Bachelor of science with education inakubali
Kama bachelor of science with education inakubali, namshauri yule mwenye bachelor of education in science afanye ku-edit ile program, aandike bachelor of science in education. Kwani kimsingi hizo ni program zote za ualimu. Hazina tofauti. Baada ya kuaply a-edit tena kuwa bachelor of education in science.
 
Kuna mmoja ana bachelor of education in science inakataa eti hana sifa
Kama bachelor of science with education inakubali, namshauri yule mwenye bachelor of education in science afanye ku-edit ile program kwenye profile, aandike bachelor of science in education. Kwani kimsingi hizo ni program zote za ualimu. Hazina tofauti. Baada ya kuaply a-edit tena kuwa bachelor of education in science.
 
Eti hazina utofauti
 
Eti hazina utofauti
Tofauti yake "haimati" kwenye post hii. Bachelor of Science with education mantiki yake ni kuwa amesoma kozi nyingi zaidi za sayansi kuliko zile za education, na bachelor of education in science ni kuwa ana kozi nyingi za education kuliko yule wa bachelor of science with education. Sasa kwa kazi ya examination officer ukizingatia responsibilities zilizoainishwa ni kuwa yule mwenye bachelor of education in science anafiti zaidi (japo inakataa) kuliko yule mwenye bachelor of science with education (japo inakubali) -keeping all other factors constant. Lazima kuna tatizo mahali.
 
Kozi zipi za education ambazo mtu science with education, hajazisoma
 
Udsm mpaka mtu wa BSc with education amalize miaka 3,, anakuwa amesoma course hazifiki kumi,, wakat mtu wa Bed anasoma course zaidi ya 25 za education minimum akiwa nazo 4 kwa semester while yule wa BSc anayo minimum 1 per semester
 
Tofauti yake "haimati" kwenye post hii. Bachelor of Science with education mantiki yake ni kuwa amesoma kozi nyingi zaidi za sayansi kuliko zile za education, na bachelor of education in science ni kuwa ana kozi nyingi za education kuliko yule wa bachelor of science with education. Sasa kwa kazi ya examination officer ukizingatia responsibilities zilizoainishwa ni kuwa yule mwenye bachelor of education in science anafiti zaidi (japo inakataa) kuliko yule mwenye bachelor of science with education (japo inakubali) -keeping all other factors constant. Lazima kuna tatizo mahali.
Nimekusoma
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom